Posts

Showing posts from December, 2014

Grace Matata (@GraceMatata) & Maua Sama (@MauaSama) – HELLO[NEW AUDIO]

Image
HELLO! is a duet featuring Grace Matata and Maua Sama. The song is written and composed by Maua Sama and Grace Matata, produced and mixed by Ema the Boy at Classic Sound Studio and mastered by Will HD. Download link:  https://mkito.com/song/hello/9642

Ruben Jr ft. Ethun – Hi Haters(Official Music Video)

Image

Weusi ft Collo, Navio, Nazizi & Rabbit – GERE Remix (Nahreel.Chizan)[NEW AUDIO]

Image
Kupakua “Weusi ft Collo Nazizi Navio & Rabbit-GERE REMIX” bofya HAPA https://mkito.com/song/gere-remix-ft-collo-navio-nazizi-rabbit/9742 na hii ndio Official Release ya kufunga Mwaka follow @weusikampuni @joh_makini @lordmweusi @gnakowarawara @nikkwapili featuring @collinsmajale @naviomusic @nazizihirji @thekingkaka produced by @nahreel & chizan brain powered by @defxtro @mkitodotcom @vmgafrica www.vmgafrica.com #EastAfricanGereRemix #supportafricanartists #shidampya

Vanessa Mdee ft Barnaba, Aika, Nahreel & AVID - WCD (Official Music Video)

Image
Tanzania artists - Vanessa Mdee, Barnaba, AVID, Aika & Nahreel (Navy Kenzo) come together to celebrate & show their appreciation to the fans that have supported them through the years by collaborating on "WCD" - Wave Clap Dance. Produced by Nahreel. Shot by Hanscana

Nay Wa Mitego-Akadumba(Official Music Video)

Image
Tazama Hapa Video Nyingine Kali Sana Kutoka Kwa Msanii Nay Wa Mitego Iliyotengenezwa Na Kevin Bosco Jnr Wa Decent Media

Tuzo Walizoshinda @VanessaMdee Na @diamondplatnumz Zilizofanyika Nigeria.

Image
Mtangazaji/Msanii Vanessa Mdee na  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamewakilisha vizuri Tanzania kwa kushinda tuzo zingine kubwa Nigeria za AFRIMA . Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female Artist in East Africa [Msanii bora wa kike Afrika Mashariki ] huku Diamond akishinda Tuzo Ya Best Male Artist in East Africa [ Msanii bora wa kiume Africa Mashariki ] . Tuzo ya Diamond ilipokelewa na Peter Msechu ambaye pia alikuwa kwenye kuwania tuzo hizo. Hongera kwao na Peter Msechu kwa kuwakilisha vizuri.

Chanya boy ft Kasu- Fasili ( Official Music Video)

Image
Tazama hapa Video mpya Chanya boy"FASILI"Aliyomshilikisha Kasu,Video hii imeongozwa na directed  creator pro5 Mashada inc Production ..mob no 0716 397319 COPYRIGHTS @CreatoR Pro5tm

Msami – Shake Shake(Official Music Video)

Image
Hii ni video mpya kutoka kwa Msami wimbo unaitwa “Shake Shake” video imeongozwa na Aby kaz,New video from Blue Media artist Msami all Right Under Blue Media company

Shebby Love ft Becka Title-Baikoko[NEW AUDIO]

Image
Sikiliza Hapa Na Download ngoma mpya ya Shabby Love"BAIKOKO"Aliyomshilikisha Becka Title

Mkubwa Na Wanawe-Tulia[NEW AUDIO]@paulmkale

Image
Kundi la Yamoto Band/Mkubwa Na Wanawe wameachia ngoma mpya "TULIA" Wimbo huu *TULIA* wa *Yamoto Band* aka Mkubwa na Wanawe ulikuwa umejificha kwenye catalog ya nyimbo ambazo wamerekodi lakini hawakuwahi kuachia rasmi. Isikilize hapa na Downlod

Wimbo wa Bracket ‘Alive’ ft. Diamond ni wa shukrani baada ya memba wake kupona Kansa, Vast aelezea jinsi alivyougua hadi kupona

Image
Alive -“Hii ni hadithi ya kweli ya Vast Bracket, safari yake hadi alivyopona kansa mwaka 2013. Huu ni wimbo wa shukrani kwa kumfanya mshindi aliyeishinda kansa.” Hayo ni maneno yanayoonekana mwanzoni mwa video ya wimbo mpya ya kundi la Bracket kutoka Nigeria iliyotoka wiki hii, ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz na Tiwa Savage. Kipindi Vast anaumwa kansa Memba wa kundi hilo aitwaye Vast, mwaka 2013 alikuwa akipigania uhai wake baada ya kuugua kansa ya damu ambayo baadae alifanikiwa kupona, ndio sababu ya kundi hilo kuamua kurekodi wimbo huu ‘Alive’ kwaajili ya kumshukuru Mungu kutokana na kumuwezesha msanii huyo kupona. “There was a time that I felt I would die. My only fear was that I was not close to God. I was afraid that if I died, I would not make it to heaven. We musicians have a particular lifestyle. You may plan to be upright, but when you go into entertainment business, it would change you. 

Wizkid--Wonder(Official Music Video)

Image
Wizkid msanii ambaye anafanya vizuri kama mkali wa Fiesta Davido huko kwao Nigeria, ametoa hii video mpya ya single iitwayo Wonder itazame hapa

Eddy Kenzo-Be Happy(Official Music Video)

Image
Eddy Kenzo ni mmoja ya wasanii wakubwa Uganda na anaendelea kufanya kazi bora kila siku, hii video yake mpya imetayarishwa na God Father aliyetayarisha videokama Kerewa, Ole Themba,Ntampata wapi, Mdogo mdogo na video mpya ya Ali Kiba ‘Mwana’

D’banj – Feeling The Nigga(Official Music Video)

Image
Wiki moja baada ya kutanguliza kutoa audio, D’Banj ametoa video ya single yake mpya ‘Feeling The Nigga’. Itazame hapaNigga is a word which evolved from the derogative term "nigger". Tupac best defined the distinction between the two. NIGGER- a black man with a slavery chain around his neck. NIGGA- a black man with a gold chain on his neck. Tupac defined the word

Tunda Man - Mapenzi Yale Yale(Official Music Video)

Image
Hatimaye Tunda Man Kuachia Rasmi Video Ya Ngoma Yake Mpya"MAPENZI YALE YALE"Itazame Hapa video hii

Wema Sepetu-In My Shoes S02ep07

Image

Ali Kiba -Hella[NEW AUDIO]@paulmkale

Image
Ali Kiba Ameachia Ngoma Mpya "HELLA"Isikilize Hapa Na Download @paulmkale

Picha: Yupi mrembo zaidi? Model kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ au yule wa ‘Ntampata Wapi’

Image
Diamond Platnumz na Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii waliotoa video kali mwaka huu. Pamoja na Mdogo Mdogo na Bum Bum, Ntampata Wapi imekuwa video iliyopokelewa vizuri zaidi mwaka huu. Naye Rich Mavoko amefanikiwa kuwa na video kali zaidi katika career yake, Pacha Wangu. Zote Ntampata Wapi na Pacha Wangu zimetumia mamodel warembo wa Afrika Kusini. Lakini nani ni mrembo zaidi? Melissa wa Diamond au Jane wa Mavoko? Tazama picha zao hapo chini na funguka kwenye comments.

Stereo (@Stereo89Stereo) – UKONGA MIKONO JUU[NEW AUDIO]

Image

Matunzo Zero Ft Young Killer-Furaha Yetu[NEW AUDIO]

Image
Wimbo mpya kutoka kundi jipya aliloanzisha Young Killer Msodoki . Kundi linaitwa Matunzo Zero Unity na wimbo wao wa kwanza unaitwa Furaha Yetu . Download wimbo hapa: https://mkito.com/song/matunzo-zero-unity-furaha-yetu-ft-young-killer/9132

Bracket Ft. Diamond & Tiwa Savage – Alive(Official Music Video)

Image
Kundi la Bracket kutoka Nigeria Wameachia video Ya nyimbo yao mpya"ALIVE"Waliomshilikisha msanii Nyota Kutoka Bongo Diamond Platinumz na Tiwa Savage,Itazame hapa

Young Killer kuitambulisha ‘MZU’ kwenye wimbo ‘Furaha Yetu’

Image
Rapper Young Killer pamoja na familia yake ya ‘Matunzo Zero Unity’ wanatarajia kuachia wimbo wao wa kwanza. Young Killer ame sema kuwa wimbo huo ni kama zawadi kwa mashabiki na wengine wanaomuunga mkono. “Wimbo nimefanya Mo Records ni studio ambayo Mwanza inafanya vizuri. Imetoa ngoma nyingi, ngoma karibia zote za Bonta, ngoma za Nako 2 Nako zile. Hii ngoma tumeimba watu wengi kutoka Matunzo Zero Unity. Kwahiyo ni ngoma kwaajili ya mashabiki,” amesema. “Matunzo Zero Unity ni kama familia ya mashabiki wa muziki wa Young Killer na watu ambao wamesupport muziki wangu. Kwahiyo itaendelea kuwepo milele na milele. Pia video itakuja ila tuanze kwanza na audio.”

Picha: Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas

Image
Ommy Dimpoz amepata zawadi ya Christmas mapema. Ni Toyota Prado mpya aliyojinunulia mwenyewe .“Christmas present for myself. Thanks Allaah for everything tukutane January Inshaallaah…for big surprise,” ameandika Ommy kwenye Instagram.

Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday

Image
Ulipitwa na show ya Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday..? Ingia hapa kutizama

FidoVato ft ROMA (@Roma_Mkatoliki) – Matatizo ya Raia Remix[NEW AUDIO]

Image
Bofya HAPA https://mkito.com/song/matatizo-ya-raia-remix-ft-roma/9122 kupakua wimbo wa “FidoVato” akiwa amemshirikisha “ROMA Mkatoliki kwa jina “Matatizo ya Raia Remix” toka pande za Tongwe Records na Noizmekah, Kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na “FidoVato” kwa nambari +255 783 825 519 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com — FidoVato ft ROMA-Matatizo ya Raia RMX (Tongwe.Noiz) https://mkito.com/song/matatizo-ya-raia-remix-ft-roma/9122

JCB (@jcb_makalla) ft BEN POL (@IamBenPol) “I DONT CARE”(Official Music Video)

Image
Tazama hapa video mpya ya Jcb"“I DONT CARE”Akiwa na Ben Pol

Zari na Diamond waweka hadharani mahaba yao kwenye ‘Zari All White Party’

Image
Zari ‘The Bosslady’ Tlale hakuushia kufanya party ya mwaka peke yake, mrembo huyo wa Uganda alitumia ‘Zari All White Party’ kuweka hadharani uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond Platnumz. Diamond na Platnumz wakibadilishana mate! Show hiyo ilivunja rekodi kwenye kiota cha Guvnor cha jijini humo ambapo walilazimika kuzuia mamia ya watu waliokuwa wamefurika nje baada ya kukosa nafasi. Diamond na Zari walionekana kupigana busu mara kwa mara mbele ya umati huo mkubwa wa watu hali iliyoweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi. Hivi karibuni Zari alimsindikiza mpenzi wake huyo kwenye tuzo za Channel O ambako alishinda tuzo tatu.

Sajna-Nibebe[NEW AUDIO]@paulmkale

Image
Msanii kutoka Mwanza Sajna ameachia wimbo mpya "NIBEBE"Uliyotayarishwa na Prod-Fundi Samwel,Isikilize Hapa na download

Bella Ft Baby Madaha & Dully Sykes__Mimi[NEW AUDIO]@paulmkale

Image
Sikiliza Hapa Ngoma Mpya Ya Bella"MIMI"Akiwa na Baby Madaha & Dully Sykes

WEMA SEPETU- “IN MY SHOES” S02EP05(VIDEO)

Image
Je ulimiss show ya WEMA SEPETU (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP05..? hebu ingia hapa>>

Tazama Picha: Mkubwa na Wanawe yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima Temeke

Image
Katika kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa Yamoto Band, kituo cha Mkubwa na Wanawe leo kimekabidhi msaada kwenye kituo cha watoto yatima kilichopoa Temeke, Dar es Salaam. Akikabidhi msaada huo, mkuu wa kituo hicho, Said Fella alisema: Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwa kupitia yeye aliye muweza wa yote.” “Pili nawashukuru Watanzania wote karibu kila nyanja kwa kuonyesha ushirikiano wao kwa Mkubwa na Wanawe mpaka kufikia hapa hii leo.Toka ianzishwe Yamoto Band leo ni siku ya furaha kwetu kusheherekea mwaka mmoja ambao umefanyika kuwa na mafaanikio mengi makubwa. Moja kati ya mafanikio hayo ni kuuza kazi zetu kweye mtandao na kukuletea kokote ulipo mpaka majumbani,” alisema. Aliongeza: Na kwa hiki kidogo tulichokipata sisi ukijumuisha na furaha tuliyo nayo ya kutimiza mwaka mmoja tumeona ni bora tugawane na wenzetu ambao ni wahitaji haswa kwa msimu huu wa sikukuu kama tulivyozoea kufanya...

Video mbili za ‘Akadumba’ zimemkamua shilingi milioni 36 Nay wa Mitego

Image
Nay wa Mitego amekata mpunga mrefu kushoot video mbili tofauti za ngoma yake ‘Akadumba’ Nay amesema kuwa, shilingi milioni 36 zimetumika kukamilisha mzigo huo. “Kiukweli kabisa imenigharimu pesa nyingi sana ambayo sikufikiria kama inaweza ikanigharimu kiasi hicho,” amesema Nay. “Nilikuwa natafuta kitu kizuri na kuwaonyesha watu nini kinatufanya tutoke nje. Kwahiyo video moja nimefanyia nchini Kenya na Kelvin Bosco na moja nilimsafirisha akaja hapa nyumbani Tanzania, zote kafanya yeye. Kwahiyo zote zipo tayari. Zimegharimu zaidi ya milioni 36. Kwahiyo mpaka sasa hivi ninaweza nikasema zitatoka kabla mwaka huu haujaisha. Moja itatoka Alhamis ijayo ambayo nimefanyia nyumbani na hii nyingine itatoka mwaka huu huu.”

Bracket Ft Diamond Platinumz & Tiwa Savage_-Alive[NEW AUDIO]@paulmkale

Image
Kundi la Bracket Wameachia ngoma mpya"ALIVE"Waliyomshilikisha msanii nyota kutoka bongo Diamond Platinumz Na mwanadada kutoka Nigeria Tiwa Savage,Isikilize hapa na Download

Nuh Mziwanda - Zima Taa[NEW AUDIO]@paulmkale

Image
Sikiliza hapa na download ngoma mpya ya Nuh Mziwanda"ZIMA TAA"

Q Chilla - For You[NEW AUDIO]@paulmkale

Image
Q Chilla ameachia nyimbo mpya"FOR YOU"Iliyotayarishwa na Prod-Mazuu Record,Isikilize na download hapa