Picha: Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Ommy Dimpoz amepata zawadi ya Christmas mapema. Ni Toyota Prado mpya aliyojinunulia mwenyewe.“Christmas present for myself. Thanks Allaah for everything tukutane January Inshaallaah…for big surprise,” ameandika Ommy kwenye Instagram.
Brand New Video From Raymond (Rayvanny) , The Song Is Titled Natafuta kiki (Official Video) .. Watch And Download Here... Enjoy DOWNLOAD MP4 WATCH FROM YOUTUBE