Posts

Showing posts with the label BURUDANI

New Audio Coming Soon: Navy Kenzo – AIM

Image
Kundi la Muziki wa Bongo fleva linalofanya vizuri zaidi Tanzania na Afrika kiujumla la Navy Kenzo ,leo limetoa Rasmi Jarada la Santuri yao yaani ‘Album Cover’ ya album yao ya ‘AIM above inna Minute‘. @navykenzoofficial

Baraka Da Prince Ft. Ali Kiba – Nisamehe | Coming Soon (13.9.2016)

Image

Video: Ali Kiba - Waaribu Pendo | Mp4 Download (Cooming Soon)

Image

Mwanamuziki Davido Arekodi Na Producer Wa Justin Bieber na kumshilikisha Justin Bieber

Image
Davido amethibitisha kufanya kazi na mtayarishaji mkubwa wa muziki kutoka nchini Ufaransa, Dj Snake. [image: mariah-carey-essence] Dj Snake ni mmoja kati ya watayarishaji wa muziki maarufu duniani na tayari ameshafanya kazi na mastaa wakubwa akiwemo Kanye West, Lil Jon, Lady Gaga na wengine wengi lakini pia ameshawahi kushirikishwa kwenye kuwania kuwania tuzo kadhaa kubwa ikiwemo ya Grammy.

Diamond, Alikiba, Navy Kenzo, Vanessa watajwa kuwania tuzo za AYCA2016

Image
Diamond Platnumz, Alikiba, Navy Kenzo, Vanessa Mdee, Mama Salma Kikwete na wengine wametajwa kuwania tuzo za Africa Youth Choice [Awards] 2016. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya Septemba 17 jijini Lagos, Nigeria. Chini ni orodha nzima ya wanaowania tuzo hizo mwaka huu: BEST MALE: DIAMOND PLATNUMZ – TANZANIA AHMED SOULTAN – MOROCCO FALZ – NIGERIA TEKNO – NIGERIA STONE BOY – GHANA EDDY KENZO – UGANDA DONALD – SOUTH AFRICA LIL KESH – NIGERIA BISA KDEI – GHANA CASPER NYOVEST – SOUTH AFRICA KISS DANIEL – NIGERIA BEST FEMALE: IRENE NTALE – UGANDA VANESSA MDEE – TANZANIA SEYI SHAY – NIGERIA YEMI ALADE – NIGERIA EFYA – GHANA ASA – NIGERIA VICTORIA KIMANI – KENYA WIYALA – GHANA BUSIWA -SOUTH AFRICA KNOWLESS BUTERA – RWANDA WAJE – NIGERIA VIDEO OF THE YEAR: ADORE HER – FUNBI x POE – NIGERIA SOLDIER – FALZ x SIMI – NIGERIA ISABELLA – SAUTI SOL – KENYA GOOD TIMES – KISS DANIEL – NIGERIA RIGHT NOW – SEYI SHAY – NIGERIA SKIN TIGHT – MR EAZI x EFYA – NIGERIA x GHANA STANDING OVATION – TIWA SAVAGE x...

Diamond na Jah Prayzah wa Zimbabwe washoot video ya collabo yao SA

Image
Baada tu ya kutoka kurekodi collabo ya Coke Studio ZA na Cassper Nyovest, Diamond Platnumz aliingia location kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na staa wa Zimbabwe, Jah Prayzah. Prayzah ambaye jina lake halisi ni Mukudzei Mukombe alilazimika kusafiri hadi Dar es Salaam kuja kukamilisha collabo yake na Diamond hivi karibuni. Jah Prayzah ambaye hujulikana pia kwa jina la Musoja kutokana na kupenda kuvaa nguo za kijeshi, amemshirikisha Diamond kwenye wimbo wake uitwao Watora Mari. Wimbo huo utapatikana kwenye album yake mpya na ya saba, iitwayo Mudhara Vachauya itakayozinduliwa August 12. Diamond ameshare picha Instagram akiwa na staa huyo na kuandika: Wraping it up my Zimbabwean brother @jahprayzah Video #Kidogo before spending time with my Miss world!” Jah Prayzah naye ameshare video akiwa na Diamond kuelezea ujio wa video yao.

New Hit Mo Music - Ado Ado Download Mp3

Image

Barakah Da Prince ajiunga na Rockstar4000 ambayo Yupo Alikiba na Lady Jaydee

Image
Hitmaker wa Siwezi, Barakah Da Prince amesainishwa mkataba wa usimamizi na kampuni ya Rockastar4000. Ameungana na Alikiba na Lady Jaydee kuwa msanii wa tatu kuwa chini ya uongozi huo. Na kwa sasa muimbaji huyo atakuwa akijulikana kama ‘Barakah The Prince.’ Kwenye maelezo yake, CEO na mwanzilishi wa label hiyo, Jandre Louw amedai kufurahishwa kumsaini muimbaji huyo wa Mwanza na kumwelezea kama mwenye kipaji cha hali ya juu. Akiwa chini ya label hiyo, Barakah ataanza kuandaa album yake ya kwanza itakayotoka mwaka 2017.Muimbaji huyo amejipatia umaarufu kwa nyimbo zake kama Siachani Nawe, Nivumilie na Siwezi.

Diamond Atoa Nafasi Kwa Video Queen wa Kike Toka Bongo Kwenye Video Mpya Aliyofanya na Raymond Kama Upo Tayari Maelezo Yako HAPA

Image
Baada ya kupigiwa kelele sana kuhusu kutumia wanawake wa kizungu kwenye video zake, Diamond amelegeza moyo wake na sasa ameamua kuwapa nafasi warembo wa Bongo.  Staa huyo ametangaza kuwa wiki hii ataanza kushoot video ya wimbo aliomshirikisha msanii aliyechini ya label yake ya WCB, Raymond na kuwataka wasichana wote wanaodhani wana urembo wa kuing’arisha video yake wazeme kwenye DM. “Shooting my other HIT ft Ray Vanny next week in Dar / Tanzania. If you are cute & African Queen and you would love to be part of it DM me,” alitweet mwishoni mwa wiki. Alidai kuwa video hiyo itakuwa na maudhi ya Kiafrika. Hata hivyo haijajulikana iwapo atatumia muongozaji wa nyumbani ama atamdondosha muongozaji wa Afrika Kusini. Aliwahi kumleta God Father kushoot sehemu ya video ya wimbo wake ‘Utanipenda’ pamoja na video ya Raymond, Kwetu. Hata hivyo kwa sasa ameonekana kupenda kufanya kazi na Nick aliyeongoza video ya Bado, Make Me Sing na Ibaki Story.

Video: Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba, Cheki hapa

Image
Meneja wa Diamond , Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records. Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond platnumz na Ali kiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki historia tu. Babu Tale alipost kipande hicho cha video kinachoonyesha baadhi ya picha za wasanii wakubwa Bongo akiwemo Marehemu Bi Kidude , Mr Blue , Dully Sykes , Juma Nature, Q Chief , Ali kiba na wengine wengi. Je, hiyo inaweza ikawa ndiyo kiki ya kuikaribisha video ya wimbo mpya wa Diamond aliowashirikisha P Square ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni? Tazama video hapa.

Hii ndo sababu ya kuchelewa kutoka kwa video ya wimbo wa Diamond na P-Square

Image
Diamond ana kesi kwa mashabiki wake. Ijumaa na Jumamosi hii wamekuwa wakisubiri kwa hamu video ya wimbo wake aliowashirikisha P-Square ambayo aliahidi ingetoka jana, lakini hadi sasa kimya!! Wengi wameonesha kukusa uvumilivu na wameanza kuelezea kusikitishwa kwao kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii. Lakini tumeongea na uongozi wake kutaka kujua nini sababu za kuchelewa kutoka kwa video hiyo, na umesema kuwa kuna vitu vichache vimechelewesha na kwamba mashabiki wasiwe na shaka kwasababu kiu yao itakatwa. “Kuna vitu vinachelewesha ila tupo katika final touches,” meneja wa Diamond, Sallam ameiambia Bongo5. “Ukiwapa kitu kibaya watalalamika ni bora wafanye subira wapate kizuri zaidi,” ameongeza. Video ya wimbo huo ilifanyika nchini Afrika Kusini na utakuwa wimbo wa kwanza P-Square wanasikika wakiwa pamoja tangu kundi lao kudaiwa kuvunjika. Ijumaa hii Diamond alipost kwenye Instagram picha ya mwanae Tiffah mwenye umri wa miezi 11 sasa na kuandika: On the LONG conversat...

Abdu Kiba adai wasanii wa WCB wanabebwa na Promo

Image
Abdu Kiba amesema kuwa promotion ndiyo inawabeba wasanii wa lebo ya WCB. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, “Sijafikiria kuimba na msanii kutoka WCB, kwa sababu sijaona anayeimba type ya muziki wangu.” “Hata kama wana promote kwa sababu ndiyo walipoona wao ndiyo wanaweza wakafanya na watu wakaweza kuelewa lakini siku zote ajuae hazami,” alisema Abdu Kiba. Aidha aliongeza kuwa bado hajaona msanii anayeimba type ya muziki wake ndani ya lebo hiyo [WCB]. Hata hivyo mapema mwezi huu msanii huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa yupo tayari kujiunga na lebo wa WCB kama watakubaliana na kuweka hela mezani kauli ambayo baadaye yeye mwenyewe aliipinga kuwa watu hawakumuelewa vizuri alichomaanisha.

Cooming Soon: Lady JayDee - Sawa Na Wao kutoka Jumatatu Ijayo!!

Image

Diamond Platnumz akosa tena Tuzo ya BET...Huyu ndie Mshindi wa Tuzo hii

Image
Tuzo za BET katika kipengele cha Best Internation Act-Africa zimeshatolewa tayari na tuzo hii imeenda kwa Black Coffee. Katika Tuzo hii Black Coffee alikuwa akishindina vikali na wababe wa Muziki wa Afika kwa sasa akiwemo Diamond Platnumz , Wizkid , Yemi Alade na Cassper Nyovest kutoka nchini Afrika ya kusini. HUYU NDIE BLACK COFFEE Katika Mtandao wa Instagram wa BET AFRIKA wamepost picha ya Black Coffee na kuandika " 🎉🎊 Winner: Best International Act: Africa - Black Coffee #BETAwards16 ". Bahati haikuwa kwetu, Hongera Pia kwa Diamond Platnumz japo hajashinda lakini ametuwakilisha vizuri sana katika kuufikisha Muziki wetu katika level ya Kimataifa.

Collabo ya Diamond na P Square imeiva, inatoka Muda wowote kuanzia sasa

Image
#SimbaKasema, Ngoma ya Diamond na wakali wa Nigeria, P square inatoka muda wowote kuanzia sasa. Diamond bado hajasema jina la wimbo huo lakini tayari ameanza kuupigia promo kwenye mitandao ya kijamii, Kupitia instagram, Diamond ameandika: “My People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can be the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua unakiu kias gani….haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe mtu wa kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P-SQUARE! ) Cc @peterpsquare @rudeboypsquare #SimbaKaseMa” Kwa upande mwingine meneja wake, Sallam ameahidi kuwa muda ambao Subscribers wa staa huyo kwenye channel yake ya Youtube watafika laki tano video hiyo itaachiwa muda huo huo, hadi sasa wapo 287,999. Mashabiki wa staa huyo wameonesha shauku zaidi ya kuupokea mzigo huo mpya wa Diamond Feat. P square.

Lyrics | Rich Mavoko - Ibaki Story | Mashairi

Image
[Verse 1] Matapishi ni kinyaa kuzirudisha tena kwenye kinywa Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima Ikawa ngumu kukusahau, nikasema moyo ukome Kwa kali sulu na madharau, penzi ulivunja na ngome [Pre-Chorus] Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi We ndo ulifanya macho yangu nione wengi waongo Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa magendo Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto [Chorus] Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe Mi na wewe, acha ibaki story mi na we Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na wewe [Verse 2] Kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu pengine Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha ukaweka wazi Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi [Pre-Chorus] Na unajua hata nikilia, siwezi kutokwa na machozi We ndo ulifanya ma...

Video: Rich Mavoko Atambulishwa Rasmi katika familia ya WCB

Image
 Diamond Platnumz na timu yake ya WCB wameongozana Mpaka Basata Kwa lengo la kumtambulisha rasmi RICH MAVOKO kama mmoja wa wasanii watakaokuwa chini ya Label ya WCB . Katika Mtandao wa instagram Diamond Platnumz amepost picha na kuandika " Wolcome to the Family @richmavoko Let's take Bongo fleva to the world! ". Nimekuwekea video fupi hapa chini! wakati Diamond Platnumz na timu yake walipokuwa BASATA:

Video Tears: Ommy Dimpoz ft Ali Kiba - Beautiful

Image
  Pamoja na kumtambulisha  Nedy  siku si nyingi tutegemee bonge moja la kolabo kati ya  Ommy Dimpoz  na  Ali Kiba . Ndio! Ni huyu huyu Kiba mshindani mkubwa wa  Diamond Platnumz . Tumepata Exclusive video ya  Ommy Dimpoz  na  Ali kiba  wakiwa studio wakirecord wimbo wao huo. Skiliza kionjo kidogo cha wimbo huo hapa chini kwenye video.

Rich Mavoko ashoot video akiwa na Diamond SA, kutambulishwa WCB ‘soon’

Image
Diamond Platnumz alimpeleka Rich Mavoko kwenda kushoot video ya wimbo wake mpya na wa kwanza akiwa chini ya Wasafi Records, imebainika. Mavoko anadaiwa kuwa ameshasaini kuwa chini ya record label hiyo inayokua kwa kasi kitambo tu lakini uongozi unasubiri hadi video yake itakapokamilika ndipo atambulishwe rasmi. Diamond na Mavoko walienda Afrika Kusini May 16 na ofcourse hawakusema chochote zaidi ya muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ kuweka picha hiyo juu akiwa kwenye ndege na kuandika: On Another Move…. Eeh Mwenyez Mungu nibarikie na Hii…. pray #WcbWasafi.” Mavoko anakuwa msanii wa tatu kuwa chini ya WCB baada ya Harmonize na Raymond.

Collabo ya Diamond Platnumz Ft. Chris Brown inakuja, MTV Base Afrika Wamethibitisha

Image
Kurasa iliyothibitisha na Instagram ya kituo cha MTV Base Afrika imethibitisha kuwa msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz anafanya collabo na Chris Brown . Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wakubwa Afrika aliyewahi kushinda tuzo za #MTVMAMA2015 #BESTLIVEACT #AFRIMMA2015    #AfricanArtistOfTheYear #AFRIMA2015 #AfricanArtistOfTheYear #MTVEMA2015 #BestAfricanAct  na  #BestWorldWideAct , Pia tuzo kama  #MTVEMA . Ukiacha Chris Brown , Diamond Platnumz ameshafanya collabo na Msanii kutoka Marekani Ne-yo .