Posts

Showing posts with the label WEUSI

G Nako Wimbo Mpya – Madeko – Download Mp3

Image
G Nako Wimbo Mpya – Madeko CLICK TO DOWNLOAD

New Music: Bonta Maarifa Ft Nikki Wa Pili & Belle 9 - Usirudi Jela | Download

Image

Cooming Soon: G-Nako feat Nikki Wa Pili - Laini

Image
Kaa tayari kuipokea ngoa mpya ya G-Nako iitwayo"LAINI"akiwa amemshilikisha Nikki wa Pili.Endelea kutembelea hapa.

Collabo ya Joh Makini na AKA, Video Kufanyika South Afrika.

Image
Baada ya kufanya Vizuri na Video ya "Nusu nusu" Joh Makini anatarajia kufanya Video ya Nyimbo aliyomshirikisha Rapper kutoka South Afrika maarufu kama AKA. " Kusema kweli nimeuona mwanga mkubwa sana wa muziki wa Hip Hop ya Tanzania kimataifa tofauti hata nilivyokuwa nimetarajia, jinsi ambavyo watu wanarespond hii ngoma (Nusu Nusu) nje ya nchi, ni kitu ambacho yani unajua kuna step ukipiga unakuwa kama mteja, ili uweze ku-maintain hiyo step pale inabidi upambane, Sasa inabidi niende kufanya video ya ngoma ambayo nimefanya na AKA anytime soon, tulifanya hapa hapa Bongo alipokuja jamaa kwenye show ya Zari All-White Party. Nafikiri ndio ngoma ambayo naenda kushoot lakini ni mapema kusema ndio itafata kwenye audio, naweza nikatoa ngoma nyingine tofauti kwenye audio halafu hiyo niliyofanya na AKA natarajia kuiachia video kwanza. " alisema Joh Makini.

‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yaingia kwenye Official African Chart ya MTV Base

Image
Joh Makini anang’arisha tena Tanzania kupitia hit yake mpya Nusu Nusu ambayo ilifanyiwa video nchini Africa Kusini. Sasa video hii imeshika namba nane kwenye wiki ya kwanza kwenye chart za video za Afrika kwenye kituo cha Mtv Base.

Pigia Kura XO Video ya Joh Makini kama video inayopendwa na watu

Image
Pigia Kura Video ya "XO" by @joh_makini ft @gnakowarawara katika "Tuzo za Watu 2015" kuwania Tuzo ya Video Bora Inayopendwa na Watu kwa kuandika "TZW13E" kwenda "15678" au kupitia Tovuti ya www.tuzozawatu.com

Video mpya ya Joh Makini ‘Nusu Nusu’ kutambulishwa ‘Exclusive’ na MTV Base Ijumaa (April 24)

Image
Rapper wa Weusi Joh Makini anaingia kwenye orodha ya wasanii wa Tanzania wanaoliwania soko la kimataifa. Video mpya ya rapper huyo wa Weusi iitwayo ‘Nusu Nusu’ itaoneshwa kwa mara ya kwanza (Exclusive) Ijumaa April, 24 na kituo cha kimataifa MTV Base saa kumi na mbili jioni saa za Afrika Mashariki, kupitia kipindi chao cha kutambulisha..

Hiki Ndicho Nikki Wa Pili alichoamua Kufanya Kwa Tanzania Kukijua Bofya HAPA>>>>>>>>>>

Image
Mwanamuziki wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili amefunguka kuja na kampeni ya ‘Uchaguzi kwa Amani’ ili kuweza kuwahamasisha vijana kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani. Akihojiwa amesema kuwa wazo hilo limemjia baada ya kuona tangu mwaka 1995 vurugu zimechukuliwa kama sehemu ya kampeni hivyo kampeni hiyo itasaidia kuwahamasihsa watanzaniakushiriki uchaguzi wa 2015 kwa amani. Amesema kuwa tangu mwaka 1995 watu wamekuwa wakihamasishwa kushiriki katika uchaguzi kupata haki ya kupiga kura lakini hakuna kampeni zilizofanywa za kuwaelimisha changamoto za vurugu na kuongeza kuwa kwa kuwaelimisha kutawasaidia sana kufanya uchaguzi wa amani. Amesema kuwa walengwa wakubwa wa kampeni hiyo watakuwa ni vijana kwahiyo wataanza kuongea na vijana wenzao kuwa demokrasia ni malumbano ya hoja, siyo malumbano ya vikundi, kwa hiyo wasimtazame mtu na chama chake, bendera yake, na kuongeza kuwa mtu atazamwe kwa hoja na ajibiwe kwa hoja. Amesema wameshaanza kuhamasisha kupitia mitandao ya kijamii na wam...

Rapa Joh Makini akiwa studio na rapa KO Wa Afrika Kusini

Image
Joh Makini amekutana na Rapa KO wa kundi la Tearsgas, halafu Joh   ameweka picha Instagram  wakiwa ndani ya studio na kuandika; “ #Studio_flow with #KO @mrcashtime himself #2KINGS #ARUSHA_MEETS_JOHANNESBURG #2015 #GODENGINEERING #WEUSIMEETSCASHTIME #amonmyway ” –@ joh_makini Katika harakati za kuhakikisha muziki unaenda kwenye level za kimataifa, tumeona juhudi za wasanii wetu wakiongeza nguvu na kujisogeza wenyewe kwenye level hizo kila siku. Kila la kheri kwa mtu wetu MWEUSI Joh Makini  kama kitatokea chochote kwenye muunganiko huu basi nitakusogezea pia.

Kaa Tayari;Nikki Wa Pili Kuja na ngoma yake mpya hivi karibuni

Image
Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa pili baada ya kuingia studio kufanya collabo na wasanii sita kwenye single yake mpya akiwemo, Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee, na Jux, kupitia ukurasa wake wa Instagram *ameteas* kava ya single hiyo mpya iitwayo SAFARI na kuwahabarisha mashabiki kuwa single hiyo mpya inatarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 6 mwezi huu.

NIKKI WA PILI (@nikkwapili) Ajiunga MKITO hiki ni kitu kingine KIPYA

Image
Mfuate Nikki Wa Pili @nikkiwapili na kupakua Nyimbo zake Bofya LINKS https://mkito.com/song/niaje-ni-vipi-ft-joh-makini/10831 https://mkito.com/song/nje-ya-box-ft-g-nako-joh-makini/10841 https://mkito.com/song/good-boy-ft-rama-dee/10851 https://mkito.com/song/sitaki-kazi-ft-g-nako-ben-pol/10861 https://mkito.com/song/hatuendani-ft-belle-9/10871 https://mkito.com/song/kiujamaa-ft-pipi/10881 https://mkito.com/song/pea-ft-g-nako-joh-makini/10891 https://mkito.com/song/higher-ft-joh-makini/10932 https://mkito.com/song/bum-kubam-ft-g-nako/10942 Powered by @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro @vmgafrica #supportafricanartists

Joh Makini (@JohMakini) Ajiunga na MKITO tayari kudondosha XO

Image
Joh Makini Toka WEUSI KAMPUNI ajiunga Rasmi www.mkito.com na ifikapo Alhamisi tarehe 11 Desemba hii ataachia rasmi Ngoma yake mpya kwa jina la.... “XO” aliomshirikisha @gnakowarawara ikiwa ni HipHop category toka kwa Producer Sappy aliye Nchini Kenya, SIKILIZA KIONJO HAPA http://goo.gl/yaTCHG Official Video Release chini ya Director @nisherbybee itakuwa Tarehe za jirani hivyo huku Tukisubiri Mzigo Kamili, Follow @joh_makini Powered by @mkitodotcom @vmgafrica @defxtro Pakua Ngoma zote za Awali toka kwa Joh Makini aka Mwamba HAPA https://mkito.com/song/kilimanjaro-ft-lady-jay-dee/6761 https://mkito.com/song/hawapendi/6771 https://mkito.com/song/nikumbatie-ft-fundi-samweli/6781 https://mkito.com/song/bye-bye-ft-g-nako/6791 https://mkito.com/song/karibu-tena/6801 https://mkito.com/song/manuva/6811 https://mkito.com/song/mfalme/6821 https://mkito.com/song/chochote/6831 https://mkito.com/song/sijutii/6841 https://mkito.com/song/i-see-me/6851 https://mkito.com/song/stimu-zimelipiwa/68...