Posts

Showing posts with the label ADVERTIES

Breaking News: Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne -2015 Yametoka….Yatazame Hapa

Image
Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne Yametoka….Yatazame Hapa Matokeo Ya Mtihani Kidato Cha Nne Yametoka….Yatazame Hapa ==>> Bofya Hapa Kuona Matokeo ==> Kuona Matokeo ya QT Bofya Hapa

Tangaza hapa 'Advertise your Business here Page view per day 300,000 - 650,000'

Image

Breaking News: NECTA yatangaza Matokeo ya Darasa la Nne....... Bofya Hapa Kuyaona

Image
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mitihani ya kujipima ya darasa la nne huku matokeo hayo yakionyesha wanafunzi wengi wamefeli katika somo la Kiingereza kwa asilimia 65.67 katika mitihani hiyo iliyofanyika mwishoni 2015. Akitangaza matokeo hayo leo Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt. Charles Msonde amesema juhudi za makusudi zinahitajika katika kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzia ili kuboresha kiwango cha ufaulu. Jumla ya wanafunzi 869,057 kati ya wanafunzi 977,886 sawa na asilimia 88.87 waliofanya upimaji wamepata alama katika madaraja ya A,B,C,na D. Wanafunzi 108,829 sawa na asilimia11.13 wamepata alama za ufaulu usioridhisha. Aidha wanafunzi wamefanya vizuri zaidi katika somo la Sayansi kwa asilimia 89.44, na baraza limewataka walimu kuweka mkazo zaidi kwa wanafunzi waliofanya vibaya ili wawasaidie kuimarika na waweze kupata ufaulu mzuri. ==>Bofya Hapa Kuyaona Matokeo

Tazama Hapa Matokeo ya Kidato cha Pili 2015/16

Image
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu. BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO

Majina ya waliochaguliwa TBS kwa ajli ya usaili Jumatano

Image

Taarifa Muhimu Kutoka Baraza La Mitihani Kuhusu Viwango Vya Ufaulu (Grade Ranges)

Image
Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa limebadilisha Viwango vya Ufaulu (Grade Ranges). Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha watahiniwa na umma kwa ujumla kuwa taarifa hizo ni za UONGO na zinalenga kupotosha umma na kuleta taharuki. Hivyo, Baraza linaomba umma kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa Baraza halijafanya mabadiliko yoyote kuhusu Viwango vya Ufaulu vinavyotumika sasa. Imetolewa na, AFISA HABARI NA UHUSIANO

Karibu Websolution Utengeneze Blog yenye muonekano mzuri, Na huduma zingine

Image
Kupitia WEBSOLUTION unaweza kidhi mambo yafuatayo; 1. Kutangaza biashara kwa usasa na kuwafikia watu wengi ndani na nje ya Tanzania, 2. Huduma za kitaalamu za kamera za kisasa na Upigaji picha za kisasa, 3. Huduma ya picha za kisasa za biashara, harusi, mitindo n.k, 4. Utatuzi wa matatizo ya mitandao ya kijamii hasa FACEBOOK PAGES, IG na BLOGS, 5. Adobe Photoshop na Graphic Designing Wasiliana moja kwa moja kwa: namba: 0658374465 na Email: gideonshady@gmail.com     Pia tunaifanya blog yako iwe na mfumo wa dot.com mfano hii hapa  youngsuper.com   , Tunatoa ushauri wa bure kuhusu blog yako    Websolution Music Promo : websolution inawapa wasanii sapoti kimuziki ambao bado hawajatoka na wanahitaji sapoti .... kama una wimbo tupigie simu muda wowote ule,

Diamond Platnumz Ametajwa Tena Kuwania Tuzo Hizi Za Nchini Marekani.

Image
Wakati Watu wakiwa na hamu ya kupata matokeo ya tuzo za MTV ambazo Diamond ni mmoja wa washiriki  katika Tuzo hizo  Diamond anazidi Kupata nafasi  zaidi baada ya kutajwa katika tuzo za African Entertainment Awards za Nchini Marekani.  Diamond amekuwa nominated katika vipengele  viwili ambavyo ni Hottest Male(Msanii bora wa kiume) na Single Of The Year(wimbo bora wa Mwaka-Ntampata Wapi). Diamond amepost katika mtandao wa Instagram akitoa shukran zake...ameandika "Naomba niwashkuru wadau na Mashabiki zangu wote kwa support kubwa mnayozidi kunipa... Niwashkuru wote mlokuwa Mkihamasisha na kupiga kura katika tunzo za #Mtvmama2015 Hakika ni upendo Mkubwa..kijana wenu now nimetua South Africa tayari kwajili ya Kujiandaa kwa show nk... ila pia wakati nimetua nimekutana na Habari nyingine nzuri...kuwa Nimechaguliwa kwenye Tunzo za Marekani ziitwazo @AfricanEntertainmentAwards Kama Msanii Bora wa Kiume Africa na Nyimbo bora ya Africa #NtaMpataWapi Hii ndi...

Mastaa waliotajwa kuwania BET Awards 2015 ni hawa hapa.. TZ tunae mshindi wetu mmoja pia soma hapa>>>

Image
BET Awards 2015 ziko mlangoni tayari kwa sasa kipya kutoka upande huo ni hii list ya mastaa ambao wametajwa kwamba wameingia kwenye mchakato mzima wa kuwapata washindi wa Tuzo hizo. Nicki Minaj na Chris Brown wanaongoza kwa kuteuliwa kuwa kwenye vipengele sita kila mmoja… nyuma yao wako Mrs. Carter,  Beyonce na rapper Lil Wayne  ambao wako kwenye category nne kila mmoja. Millen Magesse   Supermodel kutoka TZ  nae atapokea tuzo ya heshima ambayo imepewa jina la  Global Good Award  kwa mara ya kwanza kabisa Tuzo hii inatolewa na BET Awards na yeye anakua mtu wa kwanza kushinda pia. Hii ni orodha ya mastaa wote waliotajwa kuwania  BET Awards 2015. Best Female R&B/Pop Artist BeyoncĂ© Ciara Janelle Monae K. Michelle Rihanna JhenĂ© Aiko Best Male R&B/Pop Artist August Alsina Chris Brown John Legend The Weeknd Usher Trey Songz Best Group A$AP Mob Rich Gang Rae Sremmurd Migos Jodeci Young Money Best Collaboration August Alsina f/ Nicki ...

PRESS RELEASE: NAIROBI RAPSODY PRESENTS EXCLUSIVE FID Q ALBUM LISTENING PARTY (June 4th)

Image
After a successful event with Brooklyn, NY hip hop artist Yasiin Bey (Mosdef) in his first East African showcase, Nairobi Rapsody is back this Thursday (4 th  June) with Tanzania’s  hip hop wordsmith -   FID Q. Welcome to Ebony Lounge from 10:00 p.m. (Thursday 4 th  June) for an exclusive night with Coke Studio Africa season 3 artist: FID Q of the hit  Bongo Hip Hop . He will be  in Nairobi, Kenya hosting a Listening Party of  his upcoming third album  Kitaaolojia   ( Streetology) for  the first time . The album is set for release in July. Kitaaolojia  album is about what’s happening on the streets and inspires the youth to be in control of their lives. It features 10 songs including  Ielewe Mitaa ,  Neno  featuring Lord Eyez,  Sihitaji Marafiki  featuring Yvonne Mwale from Zambia,  Siri ya Mchezo  featuring Juma Nature,  Bendera ya Chuma  with Ben Pol and  Bongo Hip Hop  wi...

Diamond Hana Shida Tena Na Tuzo Za Kilimanjaro Na Huu Ndio Ujumbe Mzito Aliouandika Bofya HAPA

Image
Diamond plutnumz kaamua kjibu swali ambalo alikuwa akiuulizwa sana na mashabiki hii ni baada ya kuonekana haombi kura kwa mashabiki wake kwenye kipendele  anachowania katika tuzo za KTMA, Ikiwa wasanii wengine wanaendelea kuomba kura sehemu tofauti kwenye mitandao yakijamii kupitia ukurasa wake wa facebook ameamua kufunguka  sababu za yeye kutokuomba kura ameandika huku hisia zake zikionyesha kutokuridhika na upangwaji wa vipengele vinavyo shindaniwa. Hii ndio post aliyoandika diamond

Hii ni orodha kamili ya walioteuliwa kwenye Kill Music Award 2015,bofya kuona majina yote..

Image
Baaba ya kuipitia nimeona majina ya mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, anafuatia Diamond kwenye vipengele vitano na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne.. Kila la kheri kwa watu wetu !!

Nawatakieni sikukuu njema wote ya Pasaka

Image
LEO NI SIKU KUBWA SANA KWA WAKRISTO WOTE DUNIANI AMBAO WANAUNGANA PAMOJA KATIKA KUMBUKIZI YA KUFUFUKA KWA BWANA YESU KRISTO NA KUPAA MBINGUNI AMBAYO ILIITWA PASAKA. HIVYO GLOBU YA JAMII INAWATAKIA HERI NA FANAKA WADAU WOTE KATIKA SIKUKUU HII YA PASAKA.

NUH MZIWANDA atakuwepo TANGA Jumamosi hii ya tarehe 28.3.15

Image
Tanga Tanga kaa tayari kwa @mziwandanation na team yake nzima ya kazi ndani ya lacassa chica jumamosi hii #BilimaTour . Mlangoni shilingi 10000, ukikata tiketi mapema shiling 7000

Yamoto Band Kutua Mwanza kufanya yao kwenye mkesha wa Pasaka

Image
Katika kuikaribisha sikukuu ya pasaka wale vijana wanaojua kuitendea haki stage ya burudani Yamoto Band watakuwa jijini Mwanza wakimwaga burudani kwa wa wadau wa pande hizo husika.

Jumamosi hii BEN POL (@IamBenPol) anampeleka SOPHIA Dodoma

Image
BEN POL Ent. Presents Sophia Night #This SATURDAY 21st March 2015 at MATEI LOUNGE #DODOMA … Akiwa Pamoja na WEUSI na Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Kopa, Huku Host wa Show nzima akiwa ni B-Dozen (Clouds fm) #HiiSiYaKukosa !!! Surprises Kibao pia Zitakuwepo!! Entrance; TZS 7,000 (Students with ID) and TZS 10,000 (Normal) #BeThere !!!!

Masanja awashusha Profesa Jay na Jaydee, sasa awa msanii wa pili kwa utajiri Tanzania

Image
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wACanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. HABARI MEZANI Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo na kugundua kuwa ni kati ya mastaa mabilionea Bongo. “Masanja sio yule tena. Ana mpunga (fedha) mrefu sana. Hakuna msanii wa maigizo Bongo anayeweza kumfikia kwa sasa. Hao wengine ni mbwembwe tu, lakini pesa imelala kwa Masanja,” kilipasha chanzo chetu. Kikaongeza: “Kwanza ana ghorofa lipo Tabata, hapo ndipo anapoishi. Pia ana magari kibao ya kifahari, mashamba ya mpunga na Kampuni ya OK Security inayolinda sehemu mbalimbali zikiwemo taasisi nyeti nchini. “Ni msanii gani mwenye kampuni kubwa kama ya Masanja? Wengi wanaishia kudai wanatayarisha filamu ambazo hata...

JAY DEE (@JideJaydee) featuring ALI KIBA (@OfficialAliKiba)

Image

Kauli Ya Young Dee Yakera Bloggers Na Mkito Iongeze Malipo yake Kwa Bloggers wote Kama Mdau Wa Muziki Hii Inakuhusu

Image
Ifike kipindi Wasanii wa Muziki wasijisaulishe bali wakumbuke wapi walianzia na mpaka kufika leo ni support gani wamepewa na Blogs mpaka kufika hapa. Leo nimesoma habari kutoka Bongo5 yenye kichwa cha habari hiki " Exclusive: Young Deeatoa ujumbe muhimu kwa blogs za burudani Tanzania " Huu ni mtazamo wake kwenye kazi yake lakini ni vema angefikiri kwanza kabla ya kuwa mbinafsi. Sipingi swala la Msanii kuuza nyimbo zake MKITO hapana cos hiyo ni haki yake, lakini kabla msanii hajaanza kuangusha lawana kwanza angejiuliza tatizo lipo wapi? naamini wao ndio wangekuwa watu wa kwanza kuwatetea Bloggers ili nao waboreshewe malipo yao kama vile ambavyo wao wanapokea hizo Millioni zao. Badala yake unakuta Msanii anajitoa fahamu na kuanza kuongea kwamba hataki nyimbo zake ziwekwe sehemu nyengine zaidi ya MKITO sasa mbona wakati tunasambaza na kuwekeza nguvu kwenye promo ya nyimbo zenu bila hata kutoa Senti 5 hamkuwa na kauli mbovu hivi?! Naheshimu sana kazi ya Msanii maana nd...