Posts

Showing posts with the label PHOTO'S

Picha: Yamoto Band watengeneza Video ya kibao kipya cha Mama mjini Tanga

Image

Picha: Yamoto Band wakielekea South Africa kushoot video yao mpya.

Image
Cheza Kwa Madoido ‘ ndio hit nyingine mtaani kwa sasa, kazi nzuri kutoka kwa Yamoto Band .. Hongera nyingi ziende kwao kwa ushindi wa Tuzo moja ya # KTMA2015 category ya Kundi Bora la Muziki # BongoFleva . Leo June 15 2015 Timu nzima ya Yamoto Band wamekwea pipa kwenda South Africa kwa ajili ya kushoot video yao mpya ya hit hiyohiyo ya Cheza Kwa Madoido . Mkubwa Fella ambae ndio Meneja wa Kundi hilo amesema kwanza anamshukuru Diamond kwa kuwapiga tafu madogo ili nao watoboe kama ilivyokuwa kwake kwani mipango yote ameifanikisha yeye na leo usiku wanaanza mchakato mzima kuifanya video hiyo. Kazi ya Video imekabidhiwa kwa Director Godfather  kwa gharama ya kama Dola Milioni mbili hivi.. Hizo zimetolewa na Diamond Platnumz pia !!

SAHAU KUHUSU ALI KIBA NA JOKATE TAZAMA PICHA MPYA ZA ZARI NA DIAMOND

Image

PICHAA: ALI KIBA NA ABDUL KIBA WAKIWA WANAKATA UPEPO KWENYE MAREKANI>>>

Image

Picha za Ali Kiba Akifanya video Afrika Kusini.

Image
Ali Kiba yuko Afrika Kusini akifanya video yake mpya na kupitia Facebook Yake alituonyesha picha za behind the scene ya kazi hio. Video imetayarishwa na Meji Alabi.

Kwenye collection ya nyumba nzuri za leo… hizi ndio nimeona ni kali !

Image
1 Wakati mwingine huwa tunaingiwa na uwoga baada ya kuona nyumba kalikali za kitajiri kwenye picha au mtaani tunakoishi ila kiukweli ni kwamba hata kama hatuwezi kujenga za level hiyo, kuna baadhi ya vitu tunaweza kuvichukua kwenye hizo nyumba na tukahamishia kwetu. Ukicheki hizi picha za leo utaona kila moja ina mvuto wake, mfano hii ya chini hapa imeanza kunivutia kuanzia nje jinsi walivyoweka hizo kokoto, rangi ya ukuta mpaka ndani sebuleni bafuni na sehemu nyingine. 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 Usiache kuniandikia comment yako picha namba ngapi imekuvutia katika hizi za leo mtu wangu 42