Posts

Showing posts with the label BEN POL

Ben Pol ampigia magoti Alikiba, wayamaliza, huenda wakafanya collabo

Image
Jana December 23 2015 gossic cop wa show ya XXL #CloudsFM, Soudy Brown alifanikiwa kumpata Alikiba … maswali ya Soudy kwa Alikiba ilikuwa jinsi alivyopokea maneno ya Ben Pol kwenye post ya Twitter ambayo alimtaja !! Alikiba alisema hana neno na wala hana tatizo na Ben Pol , kwa hiyo hata kilichoandikwa na Ben Pol alikichukulia poa kabisa… leo Alikiba alikuwa ‘live’ kwenye show ya Jahazi Clouds FM , baada ya stori mbili tatu watangazaji Emmanuel Likuda  na ‘Mtembezi’  Antonio Nugaz  wakaona wamcheki pia Ben Pol ili kujua sababu ya kuweka post ya kumhusu Alikiba na muziki wake. Unajua Alikiba ni kama kaka, alivyolichukulia hili suala najua kalichukulia kama kaka… suala la msingi, Watanzania wajue kwamba tuko sawa na Kiba … tukiwa tunazunguka haitakuwa kitu kizuri… tutakiane heri kwa sababu tumekuwa na mwaka mzuri .’- Ben Pol . Kwenye sentensi nyingine Ben Pol ameendelea hivi >>> ‘ Haijalishi nani kajishusha kuomba radhi lakini suala la msingi ni kwamba mi...

Baada ya Video Ya Sophia Sasa ,Ben Pol Asaini Mkataba na Pana Music LTD

Image
Tanzanian leading music act, Ben Pol, signed a long term management contract with Panamusiq, a recently established artist management company based in Dar es Salaam. Ben is an award winning singer and songwriter mainly prolific with R&B tunes that have always graced the top tables of Tanzanian radio charts. His last production, “Sophia”, is currently on the highest rank of most notable charts. Other well known hits from this “Dodoma boy” are “Jikubali”, “Samboira”, “Unanichora” feat. Joh Makini and “Maneno” to name few out of a long catalogue of music from this Bongo talent. His latest video of “Sophia” enjoys huge popularity on the net with over 91,000 views in its first 7 days on YouTube. Video link: https://youtu.be/81i3dybXK8U   Panamusiq, established in mid 2014, provides innovative management services to African artists to develop their talent in fully exploitable brand value. Panamusiq most remarkable achievements have been accomplished with its previously...

Haya ni maneno ya Ben Pol kwa kuichelewesha video ya ‘Sophia’?

Image
Ben P o l weekend hii anatarajia kufanya show ya usiku wa ‘Sophia’  ndani ya Dodoma, safari yake Dom itaunganisha pia zoezi la kushoot video ya wimbo wa mkali huyo ambao anasema mipango ilikuwa video ifanywe siku nyingi zilizopita lakini baada ya fans kuipokea vizuri audio aliona aongezee fungu la bajeti ya video hiyo. Show yake hiyo atasindikizwa na kundi la  Weusi pamoja na mwanamama Khadija Kopa . Ben amesema kwenye event hiyo fans watashuhudia Sophia akivishwa pete ya uchumba na show hii ni shukrani yake kwa fans wa Dom kuipokea vizuri track yake ya ‘Sophia’.

Kaa Tayari;Ben Pol Kuja Na Ngoma Mpya`SOPHIA"

Image
BEN POL (@IamBenPol) kutoa wimbo mpya “SOPHIA” tarehe 15.1.15 It’s Official!!! Ben Pol- Sophia, Sophia will be Out on 15.01.2015 #StayTuned Enquiries, Bookings& Interviews SMS +255764 905470 Email; fansofbenpol@gmail.com