Posts

Showing posts with the label J.M.KIKWETE

Tweet ya kwanza ya President Kikwete toka mwaka 2015 uingie.

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,   Jakaya Mrisho Kikwete   leo January 3 2014 amezitoa salamu za mwaka mpya kupitia page yake ya twitter @Jmkikwete Ameandika ‘ Nawatakia nyote heri na fanaka za mwaka mpya wa 2015. Tutazame yale tunayoifanyia nchi yetu kabla ya kutazama nchi yetu imetufanyia nini’aliandika”– @ @ jmkikwete