Posts

Showing posts with the label ZARI

Zari Awakosha Mashabaki wa Penzi Lake na Diamond

Image
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake mtandaoni akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote za nyumbani kitendo ambacho kimewafanya mashabiki kumwagia sifa kuwa ni mwanamke anayeyaweza maisha yote tofauti na wengi walivyokuwa wakimfikiria hapo zamani. Katika kunogesha Zari ame-edit picha ya diamond na kujiweka , kisha kaiweka na kuandika; Mmmmmh…. Ooh Ghafla visenti hana tumerudi Tandalee…. beautiful song, beautiful message, beautiful video #Utanipenda- Zari Baadhi ya picha za Zari akiwa kijinini.

Diamond na Zari waongelea kuhusu ndoa yao mwaka huu na jinsia ya mtoto wao ajae

Image
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha, Pia utakumbuka kuwa Diamond tayari alishamvisha pete ya uchumba Zari so tusubiri tu hiyo harusi.

Video: Diamond ajibu mapigo ya wanaomchukia kwa video hii ‘sexy’ ya Zari akiwa kitandani

Image
Wote tunafahamu kuwa uhusiano wake na Zari the Bosslady unapigwa vita vikali na TeamWema! Well, Wema Sepetu alishawahi kusema kuwa hana kinyongo kwa Diamond lakini hiyo haimaanishi kuwa jeshi lake la watu zaidi ya 560,000 Instagram lina mtazamo huo pia! Team Wema haitakuja kuipenda couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki ‘Zarimond’. Hilo Diamond analijua pia na ndio maana jana aliamua kuitoa character yake ya ‘uswahili’ ‘ushari’ kwa kupost video akiwa chumbani kwake kwenye mjengo wake ambayo yeye anauita state house! Kwenye video hiyo ambayo unasikika wimbo maarufu wa kihindi ‘Kuchi Kuchi’, anaonekana Zari akiwa kajilaza kitandani na gauni jekundu la kulalia. Kwenye video ya kwanza, Diamond anawaonya ‘haters’ kwa kuandika: ‘Crazy Us …Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea…. #StateHouseByNight.” ‘I am taking you straight to state house,’ anasikika Diamond akiongea kwenye video hiyo. ‘I see my beautiful baby she is right there.’ Katika video ya pili, staa huyo a...

Diamond Amzuia Zali Kujifungulia Afrika Kusini Amuanzishia Kliniki HapaHapa>

Image
Habari zilizosambaa leo mitandaoni moja wapo ni hii ya Diamond Kumzuia Zari Ambae ni mama Kijacho wake kwenda kujifungulia Sauz Afrika...Inasemekana Diamond Anataka ajifungulia hapa hapa Bongo Muda utakapo fika ili iwe rahisi familia nzima kufurahi nae badala ya kusafiri mpaka Sauz. Tayari Diamond Ameshamuanzishia Zari Clinic ya Hapa Bongo kwenye Hospitali ijulikanayo kama AMI iliyoko Masaki

Diamond na Zari wamefunga ndoa ya kimya kimya.

Image
Tuna jibu tofauti na wengi wanavyodhani! Kwa imani ya watu wengi, huenda kuanzia Ijumaa ya leo, Zari ni Mrs Naseeb rasmi! Apparenty wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya ama kuchumbiana – ofcourse kwa mujibu wa picha aliyopost Diamond kwenye Instagram usiku huu. “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi…. Alhamdulillahemoji (Sometimes Privacy has more Blessings… Thank you so Much God,” ameandika Diamond kwenye insgram yake.

TAZAMA PICHA ZARI NA DIAMOND WAKIPANGA VYOMBO JIKONI KWENYE JUMBA LAO JIPYA LA KIFAHARI

Image

Zari The Boss lady ndani ya nyumba mpya ya Diamond Platnumz.

Image
Zari the boss lady ameshare picha ya chumba cha kulala kwenye jumba la kifahari la Diamond Platnumz lililopewa jina ‘[State House]. Zari aliweka picha ya Gypsum ambayo imetengenezwa peke kwaajili ya Diamond Platnumz huku ujumbe ukisema [ Gotta love ny current view ]

Wawili hawa walishelekea Valentine’s Day kwa kishindo Africa Mashariki(Picha)

Image
Ulisherehekea vipi Valentine’s Day? Well, Diamond Platnumz na msanii wa Kenya, Akothee waliisheherekea in a big way. Diamond, Zari, Wasafi and beach life Diamond Platnumz aliitumia siku hiyo muhimu kuwa karibu na mpenzi wake Zari The Bosslady kwa kumpeleka visiwani Zanzibar kwa mara ya kwanza. Huko alijumuika na timu nzima ya Wasafi na kutumia kupunga upepo sheedaah

Zari anavyokodolea macho simu ya Diamond kama Beyonce kwa Jay Z.

Image
Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na  pozi tofauti. Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.

Shabiki Zari kuwa na ujauzito, ina maana Diamond na Zari walifanya ngono bila kinga,walipima na walijuana kwa muda gani ?

Image
Kupitia info za mashabiki, Shabiki wa Diamond ametuma mtazamo wake kuhusu issue ya Diamond na Zari kutegemea mtoto na kusema. “ Sijawahi kuona mastaa hawa wakiwa hospitalini au kwenye kituo chochote wakipima afya zao, ukizingatia ni watu wakuweka hadharani mambo yao yote basi hata kupima wangeweka instagram au huko twitter “ ” Ni vizuri staa kuzaa na staa mwenzake ila Diamond ana muda wa kuwa baba? mahusiano yake mengi ni kiki au drama a,bazo hata Kwa Zari tuliyedhani itakuwa tofauti kumbe ni yale yale, mimi ni shabiki tu ila nawatakia kila la heri kwenye familia yao wanayoanzisha ” Shabiki alimaliza hivyo.Upi mtazamo wa juu comment za huyu shabiki ?

Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!

Image
Jina la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum. Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond. Uhusiano kati ya Zari na Diamond umezua gumzo kila eneo Tanzania na Afrika Mashariki huku wakifananishwa na mastaa wa nje kama vile Kanye West na Kim Kardashian kwa namna wanavyofuatana wakati wote huku Diamond akionesha kila aina ya mbwembwe za kumjali mrembo huyo kutoka Kampala, Uganda. Uhusiano wa Zari na Diamond umewafanya kuandamana kila sehemu hivi sasa. Wawili hao walianza kuonekana kuwa na ukaribu wa mahusiano tangu Diamond alipokwenda Afrika Kusini kwenye Tuzo za Channel O ambapo Diamond...