Posts

Showing posts with the label WEMA SEPETU

Wema Sepetu awajibu kwa video wanaosema amepokonywa Gari

Image

Wema sepetu Atimuliwa kenye nyumba kisa Skendo ya maji na Umeme!

Image
UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu amedaiwa kutimuliwa kwenye nyumba ambayo alipanga kwa mbwembwe na kualika waandishi wa habari ili watoe ‘nyuzi’ hewani, akidai ni yake kwa kuinunua kwa shilingi milioni 280, fuatana na Ijumaa Wikienda. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Wema amekumbwa na kadhia hiyo ya kuhamishwa kwenye nyumba hiyo iliyopo Makumbusho jijini Dar, usiku wa Desemba 18, mwaka huu.    SIKIA CHANZO  “Jamani mmesikia kilichomtokea Wema Sepetu? Yaani huyu dada anaishi kwa maigizo hadi basi. Lile sakata lake la kudaiwa kutumia umeme na maji kimagumashi limemtokea puani, maana kwenye umeme pekee yake nasikia anadaiwa zaidi ya shilingi milioni nane (8,000,000) fedha ambazo imekuwa shida kulipa.”  BABA MWENYE NYUMBA AINGIA KATI “Sasa baba mwenye nyumba ameingilia kati. Ameamua kulipa yeye deni hilo lakini akamtaka Wema ahame haraka  kwenye nyumba yake,” kil...

Huu Ndio Waraka Mzito Wa Siri Aliouandika Wema Sepetu Kuhusu Maisha Yake na Tatizo Linalomsumbua>

Image
Wema Sepetu ni mwigizaji staa wa Tanzania hakuna asiejua, Wema Sepetu ni Miss Tanzania 2006 na ni miongoni mwa mastaa wenye ushawishi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, hakuna asiejua…… ila tatizo linalomsumbua kwa sasa inawezekana kuna wengi wasiolijua. Amekua akisumbuliwa na tatizo la kutoweza kushika ujauzito ambapo baada ya ukimya mwingi, Wema ameamua kuongea yafuatayo kwa wote wanaombeza kutokana na tatizo lenyewe. Amesema >>> ‘ Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana… But sina… Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu…. Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe… Is dat wat u want…? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze… Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto ‘ Sentensi ya pili >>> ‘ Kumbukeni na mimi pia ni binaadam… nina moyo kama nyie… au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa… mnaona na...

Video : Wema Sepetu - In My Shoes S02EP11

Image
Tizama hapa kipindi cha WEMA SEPETU (@wema_sepetu) ”IN MY SHOES” S02EP11HOST & EXECUTIVE PRODUCER Wema Sepetu PRODUCER Endless Fame Production CAMERA & EDITOR Eric Ndeki CREATIVITY MANAGER Martin Kadinda SOCIAL NETWORK CO-ORDINATOR Best Werema "Bestizzo"

Haya ndo majibu ya Ommy Dimpoz Kuhusu picha alizopiga na Wema X wa D

Image
Msanii wa bongo fleva, Ommy Dimpoz, amefunguka kuhusiana na picha zilizozua utata na kuzozagaa mitandao zikimuonesha akiwa kitandani na msanii wa filamu Wema sepetu. Ommy amesema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo. Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz, ameamua kujiweka kwa Wema, baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinum. "Ni picha tu mimi naona kama ni picha zingine tu za kawaida, sasa nimeshindwa kuelewa kwanini labda zimetengeneza sana stori kwasababu mimi naona sio mara yangu kwanza kupiga picha na Wema hata uki google utaona tunapicha nyingi sana kwa hiyo sijaelewa kwanini zimeleta stori May be nafikikiri zilizotengeneza stori zaidi ni hizi ambazo zinaonesha tuko chumbani kwasababu mimi nilikuwa nimelala kiukweli na tulikuwa tunakaa kwenye apartment moja nilikua nimeshtukia picha zipo kwenye mitandao unajua unavyokaa kwenye apartment kwasababu tu...

Wema Sepetu (@wema_sepetu) ”IN MY SHOES” S02EP10(VIDEO)

Image
Mwigizaji staa wa Tanzania,  Wema Sepetu hukutana na watu wake wa nguvu kila wiki kupitia show yake ya TV (Eatv) inayohusu maisha yake pamoja ishu nyingine zinazomuhusu time hii amekuletea in my shoes ya msimu wa pili iliyopo katika nafasi ya kumi. Itazame #In my Shoes msimu wa pili episode 10 kwa ku play hapa

Haya hapa maneno ya Wema Sepetu kuhusu inshu ya kumfungulia kesi Diamond.

Image
Zilianza kwa kusikika taarifa kwa chinichini ila leo taarifa ikatoka mara baada ya kusambaa zaidi kwa watu na mitandao ya kijamii habari kuwahusu wawili hawa wanao sikika nchini. MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ‘Wema’, amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10   Kwa mujibu wa mtandao wa Shirika la Utangazaji (BBC) idhaa ya Kiswahili, Wema aliripoti madai yake kituo cha Polisi Oysterbay akidai kuwa alimpatia mwanamuziki huyo kiasi hicho kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kumlipa, lakini amekwenda kinyume makubaliano yao. Muhusika mkuu ambaye ni Wema alitoa maelezo kwamba watu wanamtupia lawama kutokana na hatua aliyofikia, lakini amedai kuwa amelazimika kufanya hivyo kwa kuwa yeye ndiye aliyeingia dhamana na taasisi Focus Vicoba kuchukua fedha hizo. “Naona watu wengi wananilaumu kwa kuwa nimemfungulia kesi Diamond, pasipo kuelewa...

WEMA AUZA GARI LA DIAMOND, ADAI HATAKI KUANZA MWAKA NA GUNDU... NI LILE ALILOZAWADIWA KWENYE BETHIDEI YAKE

Image
‘Diamond Platnumz’ akiwa na aliyekuwa mwandani wake Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Lile gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015. Gari jipya aina ya Nissan Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ KUMBE LIPO KWA DALALI Habari za kiwango kutoka kwa mnyetishaji wetu zilidai kwamba gari hilo lipo kwa dalali wa kike maarufu ajulikanaye kwa jina moja la Tindwa kwa ajili ya kulitafutia mteja. NI KISASI? Ilidaiwa kwamba, Wema ameamua kufanya hivyo kwa kuwa ana kisasi na hasira kwa Diamond kwa kuwa jamaa huyo kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Uganda, Zarinah Hassani ‘Zari au The Boss Lady’. “Watu wanadhani Wema anafurahishwa na Di...

Wema Sepetu-In My Shoes S02ep07

Image

Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday

Image
Ulipitwa na show ya Wema Sepetu (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP06 My Birthday..? Ingia hapa kutizama

WEMA SEPETU- “IN MY SHOES” S02EP05(VIDEO)

Image
Je ulimiss show ya WEMA SEPETU (@wema_sepetu) “IN MY SHOES” S02EP05..? hebu ingia hapa>>