Wimbo wa Bracket ‘Alive’ ft. Diamond ni wa shukrani baada ya memba wake kupona Kansa, Vast aelezea jinsi alivyougua hadi kupona
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Alive -“Hii ni hadithi ya kweli ya Vast Bracket, safari yake hadi alivyopona kansa mwaka 2013. Huu ni wimbo wa shukrani kwa kumfanya mshindi aliyeishinda kansa.”
Hayo ni maneno yanayoonekana mwanzoni mwa video ya wimbo mpya ya kundi la Bracket kutoka Nigeria iliyotoka wiki hii, ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz na Tiwa Savage.
Kipindi Vast anaumwa kansa
Memba wa kundi hilo aitwaye Vast, mwaka 2013 alikuwa akipigania uhai wake baada ya kuugua kansa ya damu ambayo baadae alifanikiwa kupona, ndio sababu ya kundi hilo kuamua kurekodi wimbo huu ‘Alive’ kwaajili ya kumshukuru Mungu kutokana na kumuwezesha msanii huyo kupona. “There was a time that I felt I would die. My only fear was that I was not close to God. I was afraid that if I died, I would not make it to heaven. We musicians have a particular lifestyle. You may plan to be upright, but when you go into entertainment business, it would change you.
Video: Bahati x Rayvanny – Nikumbushe (Official Music Video) || Download MP4 Brand New Music Video from Bahati x Rayvanny, the song is Titled Nikumbushe (Official Music Video) : Download, Listen and share…… DOWNLOAD MP4 STREAM LIVE FROM YOUTUBE