Posts

Showing posts from August, 2015

New Video: Mkubwa Na Wanawe - Cheza Kwa Madoido (Official Video)

Image
Yamoto Band wanakuletea video yao mpya"CHEZA KWA MADOIDO"Iliyofanyika nchini Afrika Kusini chini ya Dir-GodFather.Audio Produced By Mesen Selekta,Itazame hapo chini..

New Video: Mayunga Narimi - Nice Couple (Official Video)

Image
Hii video ya mshindi wa Trace Star Afrika kutoka Tanzania, Mayunga Narimi, Video ya wimbo wake wa ‘Nice Couple’ na kazi yake inasimamiwa na Universal Music (Pty) Ltd South Africa.

Picha: Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA

Image
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa katika chama tawala cha CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA. Sumaye ametoa kauli hiyo muda si mrefu Jijini Dar es Salaam na anakuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa pili kujiunga na Chadema/Ukawa baada ya Mhe. Edward Lowassa kufanya hivyo.

Baada ya Ali Kiba Diamond nae afanya Collabo na Neyo

Image
Baada ya Ali Kiba kutupia Picha akiwa na Neyo na Wakiwa Studio wakifanya ngoma ya pamoja, Diamond nae leo ameweka picha akiwa studio na Neyo pamoja na Producer Shed Clever na kuandika maneno haya " Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you...can't wait for the World to hear this Hit Song!! @Diamondplatnumz ft @neyo ..... Cc @sheddyclever @Compoundu @thecorpshow @Jullianl

New Video: Bracket - IYERI (Official Video)

Image
New music video by Bracket, performing IYERI, starring Chris Okagbue, Simi Adejumo, Frank Odega. (c) 2015 Bracket Records. Directed by Patrick Elis.

New Music: Bill Nass Ft. T.I.D - Ligi Ndogo | Download

Image

New Video: D'Banj ft. Driis + Shadow Boxxer - Confidential (Official Video)

Image
Mshindi wa tuzo ya ‘MAMA Evolution’2015, D’Banj ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Confidential’. Katika wimbo huu Bangalee amemshirikisha muigizaji wa Uingereza Idris Elba a.k.a Driis pamoja na Shadow Boxer. Video hii isiyokuwa na rangi (black and white) imeongozwa na Thomas Ikimi.

New Music: Mshoma ft. Barnaba (@Barnabaclassic) – KWAKO | Download

Image

NEW VIDEO: We Belong To Art – Tanzania Mpya (Official Music Video).

Image

New Music: Music: Ben Pol & Thabby Lee – Moja Moja | Download

Image
Sikiliza wimbo mpya unaitwa “Moja Moja” wa msanii Ben Pol humu ame rap yupo na msanii Thabby Lee Studio Classic Sound

New Video: King Kaka ft Joh Makini and G Nako – Najipendelea (Official Video)

Image
King Kaka kutoka kenya kawakutanisha Weusi Joh Makini na G Nako..Katika ngoma inaitwa Najipendelea…Cheki video na kuidownload hapa..

New Video: Sauti Sol - Shake Yo Bam Bam (Official Video )

Image
Baada ya video yao ya ‘Nerea’ kufanya vizuri nje na ndani ya Afrika Mashariki, Sauti Sol wametoa video mpya ya wimbo wao mpya ‘Shake Yo Bam Bam’. Video imefanyika jijini Nairobi na Director kutoka Nigeria Clerence Peters

Picha 10 ya kilichofanyika studio kati ya Alikiba na Sauti Sol

Image
Usiku wa kuamkia tarehe 19, August 2015, jijini Nairobi nchini Kenya, historia mpya imetengenezwa katika kiwanda cha muziki wa Afrika Mashariki. Wasanii wa Kenya Sauti Sol na mwanamuziki kutoka Tanzania, Alikiba wamekamilisha wimbo wao wa pamoja waliotangaza kuufanya wiki kadhaa zilizopita.  Alikiba akiwasilia studio na team yake tayari kuanza kurekodi na Sauti Sol Alikiba akisalimiana na wasanii wa Sauti Sol   Alikiba na Bien wa Sauti Sol wakizungumza     Kundi zima la Sauti Sol kwenye picha ya pamoja na Alikiba             

New Music: Ervixy ft. Preezo & Belle 9 – BASI (Prod by Sappy) | Download

Image
Sikiliza na download ngoma mpya ya Ervixy"BSI" Akiwa na Preezo & Belle 9

New Video: Rita Ora Ft Chris Brown - Body On Me (Official Video)

Image
Nakuleta karibu na video mpya ya Rita Ora Ft Chris Brown ‘Body On Me’ itazame hapa.

Beef kati ya Ali Kiba na Diamond Platnumz imekwisha?Meneja wa Diamond kwenye picha na Ali Kiba,

Image
Picha hii ambayo imesambaa kwenye mitandao tofauti inamuonyesha tour manager wa Diamond Platnumz ‘Salam’ akiwa na Ali Kiba, kwenye picha hii tunamuona Neyo kwa mbali na inaonekana ilipigwa wakati Ali Kiba akiwa Nairobi kwaajili ya Coke studio atakapo fanya wimbo na Neyo.

New Music: Nay Wa Mitego - Lowassa | Download

Image
Sikiliza na download wimbo mpya wa Nay Wa Mitego aliomwimbiya LOWASSA.

Hii Ndio Safari Ya Matumaini Ya Mh. Lowassa Ilivyowafikia watu wa Zanzibar Tazama Picha HAPA

Image
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA,   Edward Lowassa   kusaka Wadhamini kwenye Mikoa mbalimbali Tanzania imekamilika tayari August 17 2015, kilele cha Safari hiyo ni Visiwani Zanzibar ambapo umefanyika Mkutano eneo la Kibanda Maiti. Ssas unaweza kuona kwenye hizi pichaz jinsi ambavyo Zanzibar imempokea Mgombea huyo pamoja na Timu ya Viongozi wa UKAWA.                                       Khamis Mgeja  akizungumza katika mkutano huo   James Mbatia  akiongea na watu wa Zanzibar kwenye Mkutano eneo la Kibanda Maiti .                                       Seif Sharif Hamad  nae akihutubia kwenye Mkutan huo. Ukafika wakati wa Mgombea huyo Urais,  Edward Lowassa  kuongea na Wazanzibar.

Vanessa Mdee: Ali Kiba sina beef naye infact sina beef na mtu yeyote

Image
Vanessa Mdee aliwekwa kwenye Kikaango cha EATV wiki hii ambapo mashabiki wake walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali.Kuna mtu alimuuliza kama ana beef yoyote na Alikiba na Vanessa kujibu, “ Ali Kiba sina beef naye infact sina beef na mtu yeyote. Nampenda nakumheshimu sana. Hatujawahi kufanya kazi ya mziki pamoja lakini ninamuamini sana ana kipaji sanaa na cha kipekee. Tunashirikiana kupinga ujangili kama mabalozi wa Wild Aid .”

Ali Kiba akiwa na Neyo Nairobi Kenya.

Image
Mwana Hit Maker Ali Kiba amekutana uso kwa uso na msanii kutoka Marekani Neyo kwenye project ya Coke Studio Afrika jijini Nairobi. Ali kiba na Neyo watafanya wimbo pamoja, na wamejiunga na wasanii wakubwa kutoka sehemu tofauti Afrika kama Wangechi wa Kenya, Dama Do Bling wa Mozambique, Ice Prince wa Nigeria na Maurice Kirya wa Uganda.

New Video: Christian Bella & Malaika Band – Amerudi (Official Video)

Image
Christian Bella na Band yake ya Malaika Band wameachia video ya nyimbo yao mpya ya “AMERUDI”…Itazame na kuidownload hapa.

New Video: AT - Mama Mie (Official Video)

Image
Nakuletea Video mpya Ya AT, inaitwa "Mama Mie" iko hapa

New Music: Christian Bella & Malaika Music Band - Amerudi | Download

Image
Christian Bella pamoja na bendi yake Malaika Music Band wanakuja na kibao kipya AMERUDI. Download hapa

New Video: Damian Soul Feat. G Nako - Tudumishe (Official Video)

Image
Produced by Amarido (Legendary Music), directed by Hanscana

New Music: Suma G - Mzalendo | Download

Image
Sikiliza na download ngoma mpya ya Suma G"Mzalendo"