New Video: Mayunga Narimi - Nice Couple (Official Video)
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Hii video ya mshindi wa Trace Star Afrika kutoka Tanzania, Mayunga Narimi, Video ya wimbo wake wa ‘Nice Couple’ na kazi yake inasimamiwa na Universal Music (Pty) Ltd South Africa.
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye list yako. Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana video hiyo inayotengenezwa ni ya nani. Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;… “Work mode: on set with my bro @Shettatz no time…”—- @ iam_kcee