New Video: Mkubwa Na Wanawe - Cheza Kwa Madoido (Official Video)
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Yamoto Band wanakuletea video yao mpya"CHEZA KWA MADOIDO"Iliyofanyika nchini Afrika Kusini chini ya Dir-GodFather.Audio Produced By Mesen Selekta,Itazame hapo chini..
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye list yako. Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana video hiyo inayotengenezwa ni ya nani. Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;… “Work mode: on set with my bro @Shettatz no time…”—- @ iam_kcee