Posts

Showing posts from May, 2015

New Music: Fred Swagg Ft Baraka Da Prince - Kikomo | Download

Image

Sentensi 18 za Edward Lowassa akitangaza kugombea Urais Arusha Hizi HAPA

Image
May 30 2015 inakuwa siku ambayo inaingia kwenye Historia kubwa kwenye ishu za siasa Tanzania.. Bado miezi michache ufanyike Uchaguzi Mkuu, mmoja ya watu ambao walitajwa sana na kuwa kwenye headlines kubwa kwenye vyombo  vya habari ni Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa. Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid katikati ya Jiji la Arusha umeshuhudia kwa mara nyingine kujaa kwa watu ambao walikuja kwa ajili ya kushuhudia Mbunge huyo akitangaza nia rasmi kabisa kwamba atagombea Urais mwaka huu. “Watanzania wanahitaji mabadiliko, nina uwezo wa kusimamia mabadiliko hayo.. Mwalimu Nyerere alisema Watanzania wasipoyapata mabadiliko hayo ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Sina shaka tukijipanga vizuri ndani ya CCM tunaweza kuwapa Watanzania mabadiliko wanayoyataka”>>> Edward Lowassa. “Nchi yetu inahitaji viongozi wenye sifa hizi.. uongozi wenye uthubutu usioogopa kufanya maamuzi magumu, uongozi usioyumba.. Aweze kuwaunganisha Watanzania na kutoa utofauti k...

Ali Kiba Is Everything To Me And We Also Have a Project Together: Jokate!!!!

Image
Jokate Mwegelo says Ali Kiba is everything to her but they are not lovers as some say. Speaking with Globalpublishers also revealed they have a project together and from now Ali Kiba will be seen in Kidoti's brand. "my people should know Ali Kiba is everything to me but not about love affair, we have lots of projects together, be patient you will witness everything going on between us, from now Ali Kiba will be face of Kidoti brand" said Jokate

New Music: Jordan feat Mirror - Hii Ni Kwako | Download

Image

New Music: Adam Mchomvu Ft Mr Blue - Twende Mbele | Download

Image

Diamond Platinmz kufanya remix ya wimbo wake mpya na Uhuru wa Africa Kusini.

Image
Wimbo na video mpya ya Diamond ft. Mr. Flavour wa Nigeria imekuwa na mapokezi makubwa hata kwa mastaa wakubwa wa Afrika, ambao wamempongeza kwa wingi kupitia mitandao ya kijamii. Miongoni mwa mastaa hao ni pamoja na member wa kundi la Uhuru la Afrika Kusini ambaye pia ni producer, Dj Maphorisa ambaye amemuomba Diamond afanya nao Remix ya ngoma hiyo. Dj Maphorisa ambaye ameshatengeneza hits nyingi za wasanii wengi wa Afrika wakiwemo Mafikizolo, Davido, Wizkid na Watanzania kama Linah, Madee, Chege na Temba, amepost comment aliyojibiwa na Diamond baada ya kucomment kwenye post yake ya Instagram na kuandika kuwa Diamond amekubali kufanya naye remix ya wimbo huo.Kupitia mitandao yao walipost hivi-

New Video: Jamie Foxx Ft Chris Brown - You Changed Me (Official Video)

Image

New Video: Awilo Longomba ft Psquare - Enemy Solo (Official Video)

Image
The Most anticipated video "Enemy Solo" from Congolese legend Awilo Longomba and Africa's superstar duo Psquare is finally here!!!! Enemy Solo in Lingala means "Enemy Bad Smell" which simply refers to enemies of progress, or as Nigerian will call it "Bad Belle" people Produced by Vtek and Directed by renowned Visual genius Clarence Peters the video illustrates an underground dance battle with Awilo and Psquare as Judges. Choreographed by Dance Queen "Kaffy", CEO dancers' Ezinne Asinugo and Congolese UK based Choreographer Sir Loui

New Music: Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana | Download

Image
Diamond Platnumz amekamilisha collabo nyingine na msanii kutoka Nigeria ‘Mr Flavour’  wimbo umepewa jina ‘Nana’isikilize hapo.

New Video: Diamond Platnumz Feat Mr Flavour - Nana(Official Video)

Image
Ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather mtu wangu. Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako mtu wangu.

New Music: Mkubwa Na Wanawe - Cheza Kwa Madoido | Download

Image
Je unajua kucheza kimadoido? Pata wimbo mpya wa Yamoto Band a.k.a Mkubwa na Wanawe upate kujifunza na wewe.

New Music : Choku - Ndani Ndani | Download

Image

New Music: Asia Mjuni - Nimetulia Nae | Download

Image

Video mpya ya Diamond ft. Mr Flavour Kutambulishwa MTV Base leo saa 12 jioni.

Image
Leo hii Diamond Platinumz anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyomshilikisha Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Mr Flavour"NANA"Ndo jia la wimbo huo.Wimbo huo utatambulishwa rasmi katika kituo cha MTV BASE saa kumi na mbili za jioni.Ngoma hiyo imetayarishwa na Producer Nahreel wa Industry na video imeongozwa na Godfather. BREAKING!! Yes, you guessed right...another #FirstOnBase ! #Nana by @diamondplatnumz ft @2niteFlavour happens tomorrow pic.twitter.com/a3NBNlryaG — MTV Base Africa (@MTVbaseAfrica) May 28, 2015

New Music: Young Dee - Cowbama | Download

Image

YAMOTO BAND, MASHAUZI KUWASHA MOTO MANGO GARDEN LEO

Image
KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, ukumbi wa Mango Garden, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kupitisha wikiendi bila burudani yoyote, leo usiku ‘utawaka moto’ wakati Yamoto Band na Mashauzi Classic zitakapotoa shoo kabambe hapo. Wasanii wa yamoto band. Ni onyesho ambalo limeteka hisia za mashabiki wa muziki kutokana na ukweli kuwa vikundi hivyo viwili havijawahi kukutana katika katika onyesho la pamoja, ukiondoa yale matamasha yanayoshirikisha wasanii wengi. Kesho, Ijumaa,  Malaika Band ambao hupiga hapohapo Mango Garden, kila Ijumaa, watakuwa Arusha mjini wakitoa burudani. Mwimbaji na Kiongozi wa Kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’. Vilevile,  Twanga Pepeta ambao hupiga Mango Garden kila Jumamosi, wasanii hao Jumamosi hii watakuwa Wenge Garden Ukonga.  Bendi ya FM Academia ambayo huibuka Mango Garden na kufukia viraka vya bendi zilizopata dharura ya kuhama ukumbi, Ijumaa hii itakuwa Polisi Kilwa Road wakati Jumamosi itakuwa ...

New Music: Afande Sele Feat Mc Koba - Uungwana Ni Kitendo | Download

Image
Wimbo mpya wa afande sele ambao amefanya na mc koba kwa ajili ya chama chake cha ACT. 

Leo ni miaka miwili toka msanii ALBERT MANGWEAH alivyoaga dunia MAY 28, 2013

Image
Wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva wakiwa kwenye picha ya pamoja katika kaburi la Albert Mangweah maeneo ya Kihonda Morogoro. DAIMA TUTAKUKUMBUKA PUMZIKA KWA AMANI

New Music: Ochu - Dumange | Download

Image

‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yaingia kwenye Official African Chart ya MTV Base

Image
Joh Makini anang’arisha tena Tanzania kupitia hit yake mpya Nusu Nusu ambayo ilifanyiwa video nchini Africa Kusini. Sasa video hii imeshika namba nane kwenye wiki ya kwanza kwenye chart za video za Afrika kwenye kituo cha Mtv Base.

Mi ni Team Kiba But I Still love Diamond’s Music, That Boy Can Really Sing – Wema Sepetu

Image
This is a love and hate type of sh*t. Wema Sepetu amekiri kuwa upande wa Alikiba lakini bado anazipenda nyimbo za mpenzi wake wa zamani, Diamond. Unakipata kizungumkuti cha kauli hiyo sio? Hivi karibuni Wema alitengeneza vichwa vya habari kwa kuonesha support kubwa kwa Alikiba (hasimu wa Diamond) katika kumuombea kura za KTMA. Kwa wengi hiyo ilitafsiriwa kama kisasi cha Wema kwa ex wake. Na wengine walihisi Kiba na Wema wana lao jambo! Lipi? Hata hivyo kupitia kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Jumatatu hii, Wema alisema Kiba ni mtu wake wa karibu tangu siku nyingi na humuita jina la utani ‘bichwa’. “ Ali and I are very good friends,” alisema Wema. “Ali alinitumia meseji kwenye whatsapp akanitumia picha (za KTMA) kama nne, nikamuambia ipi? Akaniambia zote, nikapost zote, akaniambia ntakutumia zingine. Nikamuuliza ‘hivi umetajwa kwenye category ngapi kwenye Kili? Akaniambia saba. Nikamwambia fresh nitumie zote nitakupost. Akaniambia poa na wewe nitumie post zako za T...

Ali Kiba na Jokate pamoja tena kama marafiki au …

Image
Bado hawajaongea rasmi kuhusu penzi lao ila mpaka sasa wachambuzi wa mambo wamepigia mstari kuwa Ali kiba na Jokate ni wapenzi. Jibu hili wamelipata kupitia picha tofauti wanazotuonyesha wawili hawa kwenye mtandao wa instagram wakiwa wawili. Je picha hizi ni kuwatingisha tuu mashabiki, kuna project wanafanya , ni video, Tutafahamu soon

Diamond Platinmz amedhibitisha kuwa ngoma yake aliyofanya na Mr Flavour imekamilika.

Image
Diamond Platnumz kafanya wimbo na Mr Flavour wa Nigeria,Meneja wake kaongea Haya. Baada ya kufanya wimbo na P Square, msanii Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa video yake aliyofanya na Mr Flavour wa Nigeria imekamilika na imeshapelekwa kwenye kiyuo cha televion cha Kimataifa BET.

New Music: Country Boy Feat G Nako - Mtaa Kwa Mtaa | Download

Image

New Gospal Music: Frola Mbasha - Hongera Halima Mdee | Download

Image

New Music: Sajna - Nakosa Story | Download

Image

Hii Ndio List Ya Mastaa Wanaomiliki Gari za Gharama Bongo Wako 7 Bofya HAPA

Image
Asilimia Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki halali Wa magari hayo. Baadhi ya mastaa wanaosukuma ndinga za bei Kali apa bongo ni.     1: DIAMOND PLATNUM Mwanamuziki anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi nchini ni Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo linauzwa kwa thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million 150 za kibongo. 2: LADY JAYDEE Anayefuata ni mwanadada lady jaydee anayemiliki magari mawili ya kifahari ikiwemo Nissan Murrano alilonunua kwa thamani ya shilingi mil 60 miaka kadhaa iliyopita na Range rover E lenye thamani ya dola za kimarekani 60,000 sawa ni shilingi mil 100 . 3: AY Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion. 4: MASANJA MKANDAMIZAJI Huyu anamiliki gari aina ya Land cruise...