Ali Kiba na Jokate pamoja tena kama marafiki au … Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps May 27, 2015 Bado hawajaongea rasmi kuhusu penzi lao ila mpaka sasa wachambuzi wa mambo wamepigia mstari kuwa Ali kiba na Jokate ni wapenzi.Jibu hili wamelipata kupitia picha tofauti wanazotuonyesha wawili hawa kwenye mtandao wa instagram wakiwa wawili.Je picha hizi ni kuwatingisha tuu mashabiki, kuna project wanafanya , ni video, Tutafahamu soon Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps
Tunda Man - Mapenzi Yale Yale(Official Music Video) December 24, 2014 Hatimaye Tunda Man Kuachia Rasmi Video Ya Ngoma Yake Mpya"MAPENZI YALE YALE"Itazame Hapa video hii Read more
New Video: Raymond WCB - Natafuta kiki (Official Video) | Mp4 Download August 31, 2016 Brand New Video From Raymond (Rayvanny) , The Song Is Titled Natafuta kiki (Official Video) .. Watch And Download Here... Enjoy DOWNLOAD MP4 WATCH FROM YOUTUBE Read more