Harmonize is one of the artists signed under WCB Wasafi Record Label which is under Diamond Platnumz.The video was shot in Jo'burg South Africa by Director Nick Roux
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye list yako. Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana video hiyo inayotengenezwa ni ya nani. Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;… “Work mode: on set with my bro @Shettatz no time…”—- @ iam_kcee