New Music: Nay Wa Mitego - Nyumbani Kwetu | Download

Kutoka kwa Nay Wamitego. Anakuletea Wimbo mpya unaoitwa NYUMBANI KWETU. Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. Jipakulie hapa....

Popular posts from this blog

Stoke City 0-0 Arsenal: Gunners fire blank but still return to top of the Premier League by overtaking Manchester City and Leicester