New Video: Nuru The Light – L (Official Video)

Hatimaye Nuru The Light ameachia video ya wimbo wake mpya L. Video ya wimbo huu wenye mahadhi ya reggae imeongozwa na Adam Juma. Kwenye video hii Nuru anayeonekana mwenyewe tu anaonekana akimuimbia yule ampendaye akiwa kwenye mandhari inayovutia ya pembezoni mwa bahari ya Hindi. Jionee video hiyo ya kuvutia hapo chini..

Popular posts from this blog

Collabo kati ya Sheta na msanii Wa Nigeria Kcee inanukia soma hapo