New Video: Jose Chameleone - Bwerere (Official Music Video)

Jose Chameleone amerudi kwenye headlines kwa mara nyingine na safari hii ameachia Video ya nyimbo yake mpya inayoitwa ‘Bwerere’.

Katika video hiyo  iliyofanyika Uganda imefanyika chini ya mtayarishaji Nolton pamoja na George.

Itazame hapa mtu wangu…

Popular posts from this blog

Collabo kati ya Sheta na msanii Wa Nigeria Kcee inanukia soma hapo