Posts

Showing posts from June, 2015

New Music: Qstar Ft. Barakah Da Prince - Nimekosa | Download

Image
Isikilize hapa na download ngoma mpya kutoka kwa Qstar "Nimekosa"Akiwa na Barakah Da Prince..

New Music: Rabbit King Kaka Ft Rich Mavoko - Lini | Download

Image
Ngoma nyingine mpya kutoka kwa King Kaka "LINI"Akiwa na Rich Mavoko,isikilize na download hapa..

New Video: Fuse ODG - Only (Official Music Video)

Image
Here's the official video for the new smash from the pioneer of the New Africa, Fuse ODG. Just arrived from the motherland, Fuse ODG is back with a fresh new banger for the world entitled 'Only' produced by the one and only Killbeatz Listen, vibe, enjoy and share This song was inspired by his travels through the continent.. @FuseODG @Killbeatz ONLY LYRICS Na na na na na ey eyy oh eh Baby gyal give it to me eyy oh eh Mic check 1 2 3 4 ohhh ey Killbeatz give it to them eeem oh ey Ey Only , Only in Africa (x 2) (Chorus) Gyal come my way ,I need me somebody You gotta give it to me, You moving like you in a hurry Gyal come my way ohhh , you’re my kinda safari She move her body like a snake oh , but she got the heart of a lion Only , Only in Africa (x 4) Ey ey ey ey eh Said Im feeling her size She always Gorilla (Go realer) , fellin her vibe Twerk pants like a zebra, feeling her stripes And I’ll never be a cheater if you be my wife Yhhh eyyy And im feeling her stride, good gyal...

Washindi Tuzo Za BET 2015 Watangazwa Rasmi Tazama List Nzima Iko Hapa

Image
Tuzo za  BET Awards 2015  zilichukua headlines kubwa siku ya jumapili tarehe 28 June 2015  Los Angeles  Marekani  ambapo mc alikua ni  Anthony Anderson  na  Trace Ellis Rose. Wakali wa muziki kama  Chris Brown ,  Nicki Minaj , na  Rihanna  na wengine walimiliki stage kwa kuperform.  Janet Jackson  pamoja na  Smokey Robinson  walikua baadhi ya watu waliopewa tuzo za heshima mwaka huu na  BET . Hapa chini nimekusogezea orodha kamili ya wale wakali wote waliopokea tuzo ya  BET Award  mwaka huu wachache wakiwemo  Beyonce   akiongoza na tuzo 3,  Nicki Minaj akiwa na 2,  Kendrick Lamar, Big Sean, Chris Brown, John Legend   wakiwa na tuzo moja kila mmoja na kwenye kile kipengele cha  International Best Act: Africa Stonebwoy  kutoka  Ghana  aibuka kidedea. Hii hapa ndio orodha kamili ya wasanii wote waliopokea tuzo za  BET Award , karibu uitazame mtu w...

New Video: Riz Conc Ft. J.Nature - Sidanganyiki (Official Video)

Image
Video mpya kutoka kwa Riz Conc"Sidanganyiki"Akiwa na J.Nature.Itazame hapo..

New Video : Yohana Ft. Young Killer - Uhai Wangu(Official Video)

Image

New Video: Navio X Mr. blue - Ayaya (Official Video)

Image
Mwezi February 2015 Rapper kutoka Uganda, Navio alitua TZ kwa ajili ya show ambayo ilifanyika Club Billz ,  Dar es Salaam ilimshuhudia star huyo alipofanya uzinduzi wa Video ya Hit song ya ‘ Kigozi ‘. Uwepo wa Navio ndani ya TZ ulikuwa na kingine kizuri, walikutana na Mr. Blue na kupiga collabo ambayo tayari imefanyiwa video… kama hujakutana na video hiyo basi unaweza kuchukua kama dakika nne hivi kuicheki hapa

New Video: Ali Kiba - Chekecha Cheketua (Official Video)

Image
Video mpya ya Ali Kiba "Chekecha Cheketua"imetoka ninafasi yako kubofya hapo kuweza kuitazama sasa..

New Music: Ainea feat Dullayo - Judy | Download

Image
Ngoma mpya kutoka kwa Ainea"JUDY"Akiwa na Dullayo,isikilize na download hapo..

New Video: Black Rhino Feat. Ishmael & Youngboi Veezo - We Get It On (Official Music Video)

Image
Watch and share the brand new music video "We Get It On" by artist Black Rhino Ft Dj Leo Large, Ishmael & Youngboi Veezo

New Music: Mchizi Moxie Feat. J-Deal - Simba Bado Anawinda | Download

Image
Sikiliza/Pakuwa: Wimbo mpya wa MCHIZI MOXIE unaitwa SIMBA BADO ANAWINDA uko hapa, Enjoy

Collabo ya Joh Makini na AKA, Video Kufanyika South Afrika.

Image
Baada ya kufanya Vizuri na Video ya "Nusu nusu" Joh Makini anatarajia kufanya Video ya Nyimbo aliyomshirikisha Rapper kutoka South Afrika maarufu kama AKA. " Kusema kweli nimeuona mwanga mkubwa sana wa muziki wa Hip Hop ya Tanzania kimataifa tofauti hata nilivyokuwa nimetarajia, jinsi ambavyo watu wanarespond hii ngoma (Nusu Nusu) nje ya nchi, ni kitu ambacho yani unajua kuna step ukipiga unakuwa kama mteja, ili uweze ku-maintain hiyo step pale inabidi upambane, Sasa inabidi niende kufanya video ya ngoma ambayo nimefanya na AKA anytime soon, tulifanya hapa hapa Bongo alipokuja jamaa kwenye show ya Zari All-White Party. Nafikiri ndio ngoma ambayo naenda kushoot lakini ni mapema kusema ndio itafata kwenye audio, naweza nikatoa ngoma nyingine tofauti kwenye audio halafu hiyo niliyofanya na AKA natarajia kuiachia video kwanza. " alisema Joh Makini.

Video: Mkubwa na Wanawe - Cheza Kimadoido (Behind the Scene)

Image
Video ya Yamoto Band - Cheza kimadoido iliyofanyika South Afrika iko mbioni Kutoka . Nimekuwekea Bihind the Scene ya Video hii.Icheki hapa chini.

New Music: Makomando - Nam'bembeleza | Download

Image
Hii hapa ngoma mpya ya Makomando"Nam`mbeleza"isikilize na kudownload hapo..

New Video: Mr. Flavour - Power To Win (Official Video)

Image
Mr Flavour kutoka Nigeria ametoa video yake ya wimbo wake mpya "Power To Win"ninafasi yako sasa kuitazama hapo chini..

New Music: Gelly wa Rhymes - Trap Queen | Download

Image
Hii hapa ngoma mpya kutoka kwa Gelly wa Rhymes " Trap Queen"isikilize kwa kuidownload hapo..

New Video: Makomando - Nam'bembeleza (Official Music Video)

Image
Makomando wametoa video hii mpya ya wimbo wao Nam’bembeleza, itazame hapa.

New Video: Chidinma Hidinma - If E No Be God (Official Video)

Image
Mwimbaji kutoka Nigeria Chidinma Hidinma aka Miss Kedike ametoa video yake ya wimbo If E No Be God iliyotayarishwa na director Clarence Peters.

Jux : Usikubali kuombwa hela kwenye Mitandao kupitia jina Langu

Image
Jux ameamu kutoa tarifa kwa mashabiki zake kuhusu watu wanao fungua page na kutumia jina lake, ameamua kundika  post katika page yake ya Facebook ili kuweza kuwa kuwapa tahadhari kuogopa watu wasije kutapeliwa n.k . Kupitia mtandao wa facebook Jux ameandika: " Inakuwaje watu wangu kumekuwepo na accounts nyingi humu facebook ambazo zimekuwa zikitumia jina langu kutapeli watu! Please naomba mjue sina account/page yeyote humu FB zaidi ya hii page tu! Usikubali kuombwa hela(kutapeliwa) kupitia jina langu! "

Belle 9 adai video za muziki za Kibongo zinafanana, apanga kuja na kitu tofauti -

Image
Belle 9 amedai anajiandaa kufanya video ya wimbo wake ‘Shauri Zao’ kwa utofauti mkubwa kwakuwa amebaini video nyingi za Bongo Flava zinafanana. Akiongea na E-Newz ya EATV, Belle alisema: Unajua sasa hivi video nyingi ukiangalia zinafanana location. Siwezi kuzitaja hizo video, sikupenda sasa hivi video itoke kwa kuwa sitaki ifanane na zingine ndio maana tunatumia muda mrefu kutafuta location ili iwe tofauti na video zingine na iwe video ambayo inaendana na wimbo. Kazi zangu mashabiki wanazijua na kila ngoma inayotoka huwa kali zaidi ya ile na sidhani kama kuna msanii anaweza kuwa hivyo kama mimi.”

New Music: Tunda Man - Tufungeni Na kusali/Taqabal Dual | Download

Image
Msanii maarufu wa Bongo Flava Tunda Man, ametoa Qaswida mbili kuusindikiza mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sikiliza hapa. - See more at: http://johventure.blogspot.com/2015/06/new-audio-tunda-man-qaswida.html#sthash.ze8nBBaZ.dpuf Msanii maarufu wa Bongo Flava Tunda Man, ametoa Qaswida mbili kuusindikiza mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sikiliza hapa. - See more at: http://johventure.blogspot.com/2015/06/new-audio-tunda-man-qaswida.html#sthash.ze8nBBaZ.dpuf Tunda Man ameachia Qaswida mbili kwaajili ya kusindikiza mwezi huu mtukufu wa Ramadhani,zisikilize hapa ngoma hizo..

Ushauri wa Ali kiba kwa Mashabiki, kuhusu Team za Mitandaoni:

Image
Staa wa Bongo Fleva,Ali Kiba amefunguka kuwa hafurahishwi na timu za mashabiki zinazojiita ‘ TeamDiamond na TeamKiba ’ambazo zipo kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram na Facebook . kwasababu Team hizo  ndizo zinazokuza mambo ya  ugomvi mkubwa baina yake na msanii mwenzake ( Diamond Platinumz) kama ambavyo mashabiki wanadhani.Lakini Ali kiba amedai hana ugomvi na msanii mwenzake . Akizungumza na Leo Tena ya Clouds Fm ,alisema kuwa wao ni vioo vya jamii na wanapendwa na watu wengi na anapoona yanatokea mambo hayo kwenye  mitandao hiyo ya kijamii hawezi kufanya chochote na kuwaingilia mashabiki hao. ‘’Kiukweli sifurahishwi na timu hizi na naona kinachoendelea kwenye mitandao lakini siwezi kufanya chochote na kuwaingilia mashabiki,ila ushauri wangu ni bora wangeacha tu,’alisema Kiba. Endelea kungana nami kwa Stori  zingine pale zinapojiri,

New Video: Jose Chameleone - Bwerere (Official Music Video)

Image
Jose Chameleone amerudi kwenye headlines kwa mara nyingine na safari hii ameachia Video ya nyimbo yake mpya inayoitwa ‘Bwerere’. Katika video hiyo  iliyofanyika Uganda imefanyika chini ya mtayarishaji Nolton pamoja na George. Itazame hapa mtu wangu…

New Video: Central Zone - Shakalaka (Official Video)

Image
Directed by ChuiChui an Eric Bakamanza

For real...Ally Kiba hajafollow Mtu hata Mmoja Instagram.

Image
Mastaa wengi wana Account za Social Networks mbalimbali, hii ni nzuri sana kwa ajili ya kuwatangaza mbali zaidi ndani na nje ya nchi. Katika pitapita zangu kwenye Mitandao nikakutana na account ya Ally Kiba katika mtandao wa Instagram, Kilichonishangaza ni kwamba Ally Kiba hajamfollow mtu hata mmoja katika Account yake hii ya Instagram,  Inaweza ikawa Ally Kiba ndo msanii pekee ambae katika account yake Instagram

Tukae tayari kwa collabo za Baraka Da Prince na mastaa wakubwa Afrika

Image
Baraka Da prince ambaye ni mshindi wa tuzo ya msanii bora chipukizi mwaka 2015 kwenye tuzo za KILI, time hii anakuja na collabo atakazo washirikisha wasanii wa Afrika Mashariki, Nigeria na Ghana. Baraka Da prince amesema ‘Kuna nyimbo nyingi zinakuja ambazo nimewashiriki kama Jose Chameleone, Jaguar na msanii kutoka Nigeria lakini siko tayari kumtaja jina lake ila mashabiki wake tayari kwa ujio wangu mpya,kwasasa niko Mwanza kwa wazazi ila mipango yangu ya kuachia single mpya mpaka nikirudi Dar es Salaam baada ya mwezi wa Ramadhani kuisha ndio kila kitu kitakuwa tayari hewani’alisema Baraka.

New Video: Malaika ft Mesen Selecta - Sale (Official Video)

Image
Video nyingine mpya kutoka kwa Malaika"Sare"Akiwa na Mesen Selekta.Itazame hapa..

Diamond asitisha kupokea maombi ya collabo za wasanii wa Nigeria

Image
Diamond Platnumz nae kuna kingine kutoka kwake leo, jamaa kasema ameamua kusimamisha kufanya collabo na wasanii wa nje kwa kuwa mara ya kwanza alizipiga nyingi ili kutafuta upenyo mzuri Afrika ijue muziki mzuri wa TZ.. YES, kapiga kazi nyingi na mastaa wengi na hiyo imeuweka muziki wa TZ mahali pazuri, kwa sasa collabo hizo zitasimama. Diamond amesema collabo ya mwisho kufanya kwa sasa itakuwa ya yeye na K Cee , staa kutoka Nigeria. Diamond anasema japo kaamua hivyo lakini kuna foleni ya mastaa ambao nao wameomba nae collabo mpaka sasa wengine hata hawakumbuki majina yao !!

Huyu Ndie Msanii wa bongofleva aliethibitisha kupata Zero kwenye mtihani wa Form IV

Image
Huwa ni mara chache sana utasikia staa au mtu maarufu kajitokeza au kakubali kuweka wazi kuhusu sehemu aliyowahi kuharibu au kufeli kwenye maisha. Kwenye muziki wa bongofleva tunae Nuh Mziwanda ambaye pia ni boyfriend wa msanii Shilole…… Nuh ameongea ukweli wa moyoni kwenye exclusive interview na millardayo.com na kusema >>> ‘ Kwenye maisha yangu ninachojutia ni nilivyofeli mtihani wangu wa form IV nilipata Zero kabisa na sikufanya mitihani kama mitatu, yote hiyo ilitokea sababu ya muziki’ ‘ Nilikua mtoto mwenye akili sana na Mama yangu alikua anategemea nitakuja kuwa mtu flani mwenye elimu yake kwenye familia yetu na sio Mwanamuziki, nyumbani kwetu tuko watano na mimi ndio wa mwisho na nilikua nina akili sana kuliko wote na kuanzia la kwanza mpaka la saba nilikua sishuki kwenye Wanafunzi kumi bora ‘  Kwenye sentensi nyingine Nuh anamalizia >>> ‘ Kupata Zero Form IV ni jambo ambalo linanifanya nijute sana mpaka sasa, ningekaza ningekua nafanya muziki...

New Video: Mzungu Kichaa ft Malfred - Twajiachia (Official Video)

Image
BRAND NEW VIDEO. Share your thoughts and please tag @mzungukichaa @malfredtz hastag #twajiachia #brandnewsong #newrelease #newhitsingle #newmusicvideo #bongoflava #eastafricanmusic.VIDEO directed by Zeki Oguz Teoman SONG produced by Flo Bauer Recorded and shot on location in Hamburg

Wimbo wa Navio na Mr Blue kutoka ndani ya siku chache zijazo.

Image
Rapa kutoka Uganda ‘Navio’ amethibitisha kuwa wimbo aliofanya na Mr Blue kutoka Tanzania unatoka hivi karibuni. Wimbo huu umepewa jina Ayaya. Navio tayari amefanya kazi na wasanii kutoka Tanzania kama Weusi na Izzo Bizness. Video imefanywa na kampuni ya Navio ya Navcorp Films Mr Blue ametufahamisha ” Ule mwiba mliokuwa mkiusubiri upo njiani kabisa…kijana wenu kafanya kitu na huyu kijana wa uganda…@naviomusic …tayari mda si mwingi mtaipata…#acheni uwoga wa kupitwa## ” Navio naye amesema ” The Audio for #Ayaya drops in a few days. Nav X @mrbluebyser1988 . Produced by @banostylez . The turn up just got real!!! #AYAYA “

New Video: Avril ft Rabbit King Kaka - Ninaweza (Official Video)

Image
Avril katoa video yake mpya ya wimbo aliofanya na Rabbit, wimbo umepewa jina Ninaweza. Video imetayarishwa na Sync.

New Video: Pitbull ft. Chris Brown - Fun (Official Video)

Image
Jionee video mpya ya Pitbul ft Chris brown iliyofanyika Miami. Bonyeza play kuitazama video na Ukiweza nipe mtazamo wako kuhusu video

New Video: Ice Prince Zamani - Marry You (Official Video)

Image
Kutoka kwenye lebel moja na Victria Kimani, hii video ya msanii Ice Prince ‘Marry You’. Hivi karibuni Ice Price alifanya wimbo na msanii mtanzania Jokate. Bonyeza play kuitazama video na Ukiweza nipe mtazamo wako kuhusu video

New Music: Mr Flavour - Power To Win | Download

Image
Wimbo mwingine mpya kutoka kwa Mr Flavour"Power To Win"Isikilize hapa na Kudownload sasa..

Watanzania waonyesha kutoukubali wimbo wa Diamond Platnumz alioshirikishwa na Kcee.

Image
Collabo ya hivi karibuni aliyofanya Diamond Platnumz ni alioshirikishwa na Kcee, Kumekuwa na maoni tofauti ya wadau wa Muziki ambao wameonesha moja kwa moja kuwa hawaukubali wimbo huu. Haya ni Baadhi ya maoni ya watu mbalimbali katika mtandao wa Jamii Forum.. " Wakuu nimesikiliza tena huu wimbo mpya wa KCE feat Diamond, ni wazi kabisa huenda Dai hakujiandaa au alivamia tu collabo la watu.     Ukisikiliza kwa umakini utaona kuwa, Sauti ya Dai imebanwa na haisikiki vizuri kabisa, sijui huu ndio ubanajai pua mpya au ndio unaijeria umezidi kwa huyu mzalendo wetu? My take: Kwa hali hii watanzania tuna haki ya kumpa kura Davido "  Hayo ni maoni ya  SHARDCOLE. " Hilo la sauti limeshakuwa tatizo kwake sasa aliwahi haribu hata nyimbo ya Waje Coco, Pia mimi tokea aharibu kwenye ule wimbo wa Prof J siumizi tena kichwa. Huwezi kulinganisha wimbo wowote alioshiriki diamond na Kiboko Yangu ambapo King aliua vibaya sana. Hakika Ali Kiba is gifted! " haya ni maoni ya...