Msanii Diamond Platnumzamesema katika show ya ‘Zari All White Party’ itakayofanyika mwisho wa wiki hii kutakuwa na vitu mbalimbali ikiwemo event yote kuruka Live.. kingine kumbe siku hiyo jamaa atazindua rasmi TV yake !!
Brand New Video From Raymond (Rayvanny) , The Song Is Titled Natafuta kiki (Official Video) .. Watch And Download Here... Enjoy DOWNLOAD MP4 WATCH FROM YOUTUBE