New Music: Nikki Mbishi,One,Songa & Pro7- Tukutane Kilingeni/Download

Nyimbo nyingine mpya ya Nikki Mbishi iitwayo TUKUTANE KILINGENI humu akiwashirikisha wan Hiphop wenzie kutoka Lunduno Songa, One Incredible na Pro.7 na mtayarishaji akiwa ni Invisible KTB.

Ni time yako sasa kuisikiliza na Kuidownload pia...!!!

Popular posts from this blog

Collabo kati ya Sheta na msanii Wa Nigeria Kcee inanukia soma hapo