Jose Chameleone kuingia kwenye Coce Studio Africa Mwaka huu
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Msimu mpya wa Coce Studio Africa maandalizi yameshaanza rasmi,Vyombo vya habari vimedai kuwa Dr Jose anaweza kuwa ni mmoja wa washiliki kutoka nchini Uganda.Chameleone ataungana na masta mbalimbali kutoka afrika katika show hiyo ikiwa na msimu wa tatu.Tanzania mwaka jana walioshiliki ni Vanessa Mdee,Diamond Platinumz,Joh Makini,Shaa.Inasemekana mwaka huu Ali Kiba nae atakua ni mmoja ya watakaoingia kwenye show hiyo.
Brand New Video From Raymond (Rayvanny) , The Song Is Titled Natafuta kiki (Official Video) .. Watch And Download Here... Enjoy DOWNLOAD MP4 WATCH FROM YOUTUBE