Yusup Mlela na Esha Buheti kutia timu Marekani kwa ajili ya Kufanya Filamu
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Esha Buheti amesema kuwa yeye na Yusuf mlela wamepata nafasi ya kwenda Marekani kufanya filamu. Steve Nyerere aliandika Instagram “Nawatakia safari njema ndugu zangu mungu awatangulie kwa kila jambo najua mungu ndio anayepanga kuna mengi ila hili limeanza kwenu na milango mnaifungua wazi msiwe kama wangine wenye kucheka machoni uku moyo umekunjama. Hahahahaha.alianza wastara . Mona . Sasa zamu yenu mlela na Esha mkatuwakilishe vyema . USA .
Video: Bahati x Rayvanny – Nikumbushe (Official Music Video) || Download MP4 Brand New Music Video from Bahati x Rayvanny, the song is Titled Nikumbushe (Official Music Video) : Download, Listen and share…… DOWNLOAD MP4 STREAM LIVE FROM YOUTUBE