New Video: Wiz Khalifa feat. Ty Dolla $ign & Chevy Woods - Still Down(Official Video)

Rapa Wiz Khalifa amewakilisha watu wake kwenye video mpya ya “Still Down,” single kutoka kwenye album ya Blacc Hollywood. Video yenye dakika sita inaonyesha ushuhuda kutoka kwa watu wake wa karibu kama Taylor Chevy Woods na Ty Dolla $ign, wakizungumza kuhusu maisha yai na Wiz Khalifa.

Popular posts from this blog

Collabo kati ya Sheta na msanii Wa Nigeria Kcee inanukia soma hapo