New Video: French Montana ft. Jeremih - Bad B*tch(Official Music Video)
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
French Montana na msanii wa rnb Jeremih wametoa saluti kwa wanawake wote wazuri kupitia wimbo wao wa “Bad B***h” video ambayo imebarikiwa na sra za mastaa Travis $cott na Lil Durk.
Wimbo upo kwenye cd ya French inayotarajiwa kutoka Mac & Cheese. Kwenye album atasikika Kanye West,Gucci Mane, Lil Wayne na Rick Ross.
Brand New Video From Raymond (Rayvanny) , The Song Is Titled Natafuta kiki (Official Video) .. Watch And Download Here... Enjoy DOWNLOAD MP4 WATCH FROM YOUTUBE