New Video: Alicios Theluji - Loved By You (Official Video)
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Moja ya hits zilizowahi kufanya vizuri East Africa ni hii collabo ya ALICIOS feat. JULIANA KANYOMOZI, ‘Mpita Njia’.
Alicios ni raia wa Congo ambaye anaishi Kenya, moja ya sifa kubwa na za kipekee alizonazo ni uwezo wake kuimba kwa lugha nne tofauti, kiingereza, kiswahili, kilingala na kifaransa.
Hapa nakusogezea video ya wimbo wake mpya, ‘Loved By You’ uliofanya na directorJohan Lundstane.Itazame hapa
Video: Bahati x Rayvanny – Nikumbushe (Official Music Video) || Download MP4 Brand New Music Video from Bahati x Rayvanny, the song is Titled Nikumbushe (Official Music Video) : Download, Listen and share…… DOWNLOAD MP4 STREAM LIVE FROM YOUTUBE