Hii ni release ya kwanza kubwa kutoka kwa Yuzzo kutoka kundi la Wantengwa tangia ahamie nchini Norway kuendeleza muziki wake. Pamoja na kuwa sasa anafanya muziki wa Live kwa kiasi kikubwa bado hajasahau alikotoka na hapa anakuletea wimbo wake MC (Emcee) huku akikumbushia alikotoka kwenye roots zake za Hip Hop.Download hapa pamoja na lyricshttps://mkito.com/song/mc-emcee/13279
Brand New Video From Raymond (Rayvanny) , The Song Is Titled Natafuta kiki (Official Video) .. Watch And Download Here... Enjoy DOWNLOAD MP4 WATCH FROM YOUTUBE