Baada ya mwaka jana 2014 kuuvunja ukimya uliotawala kwa miaka mingi kwa kuachia single ya ‘Mwana’, Alikiba anategemea kutoa wimbo wake mpya wa 2015. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Alikiba ameshare cover za wimbo mpya uitwao ‘Chekecha’ unaotarajiwa kutoka Ijumaa Feb 27. Wimbo huo umefanyika kwenye studio ya Combinenga chini ya producer Man Walter,Ungana nami hapa kupata ngoma mpya ya Alikiba hapo kesho@paulmkale
Popular posts from this blog
Tunda Man - Mapenzi Yale Yale(Official Music Video)
Collabo kati ya Sheta na msanii Wa Nigeria Kcee inanukia soma hapo
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye list yako. Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana video hiyo inayotengenezwa ni ya nani. Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;… “Work mode: on set with my bro @Shettatz no time…”—- @ iam_kcee

