Picha,Yemi Alade akishoot video ya ngoma yake mpya‘Taking Over Me’
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Ukiangalia video yake ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’, au namna alivyofanya vizuri kwenye video ya ‘Baby Hello’ ya staa mwenzake wa Nigeria, Wande Coal; unaona ni jinsi gani staa huyu wa muziki Yemi Alade yuko vizuri kwenye kuifanya video kupendeza.
Ana nyimbo kali kibao, collabo pia ambazo zimefanya Afrika tumtambue staa huyu kutoka Nigeria, mpya kutoka kwake ni kwamba ametupa ishara tukae tayari kuiona video yake mpya muda wowote kuanzia sasa.
Kashea na sisi picha za Behind the Scenes, wimbo ulifanywa na Producer GospelonDeBeatz, wimbo unaitwa ‘Taking Over Me’ humo ndani kapewa collabo staa mwingine kutoa Naija, rapper Phyno.
Kingine ni kwamba video hii inafanywa Nigeria na South Africa, nimeshea na wewe hizi za Behing the Scenes.
Video: Bahati x Rayvanny – Nikumbushe (Official Music Video) || Download MP4 Brand New Music Video from Bahati x Rayvanny, the song is Titled Nikumbushe (Official Music Video) : Download, Listen and share…… DOWNLOAD MP4 STREAM LIVE FROM YOUTUBE