MADEE (@Madeeseneda) aleta GUMZO kwenye Social Network, angalia kionjo cha video yake mpya “VUVULA”
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Msanii Madee kutoka kundi la TIP TOP Connection anatarajia kuzinduz video yake mpya tarehe 7 mwezi wa 2 mwaka huu pale Mikocheni kwenye ukumbi wa ESCAPE 1. Kabla Madee hajazindua video hii jana meneja wake Babu Tale alishare na wadau kipande cha video hii kwenye Instagram na kuleta comments nyingi za watu wakilalamika kuwa video hii kuna kipande cha mwanadada anayecheza jikoni kwamba ataifanya video hii isichezwe hapa BONGO.
Haya mdau nimeona na mimi niwawekee hapa ili kionjo hiki kisiwapite na nyie
Video: Bahati x Rayvanny – Nikumbushe (Official Music Video) || Download MP4 Brand New Music Video from Bahati x Rayvanny, the song is Titled Nikumbushe (Official Music Video) : Download, Listen and share…… DOWNLOAD MP4 STREAM LIVE FROM YOUTUBE