Baada ya Kimya kingi kichwa cha 254 “Cannibal” charudi tena, round hii akidondosha heavy hiphop joint akiwa na Rapdamu,ngoma inaitwa “Friday Fever” ambayo iko powered na Grandmaster Records na Fresh120Media Sikiliza na download friday fever hapa: https://mkito.com/song/friday-fever-cannibal-rapdamu/12689 @cannibalshattah @johnbgrand