Diamond Platnumz, Alikiba, Navy Kenzo, Vanessa Mdee, Mama Salma Kikwete na wengine wametajwa kuwania tuzo za Africa Youth Choice [Awards] 2016. Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya Septemba 17 jijini Lagos, Nigeria. Chini ni orodha nzima ya wanaowania tuzo hizo mwaka huu: BEST MALE: DIAMOND PLATNUMZ – TANZANIA AHMED SOULTAN – MOROCCO FALZ – NIGERIA TEKNO – NIGERIA STONE BOY – GHANA EDDY KENZO – UGANDA DONALD – SOUTH AFRICA LIL KESH – NIGERIA BISA KDEI – GHANA CASPER NYOVEST – SOUTH AFRICA KISS DANIEL – NIGERIA BEST FEMALE: IRENE NTALE – UGANDA VANESSA MDEE – TANZANIA SEYI SHAY – NIGERIA YEMI ALADE – NIGERIA EFYA – GHANA ASA – NIGERIA VICTORIA KIMANI – KENYA WIYALA – GHANA BUSIWA -SOUTH AFRICA KNOWLESS BUTERA – RWANDA WAJE – NIGERIA VIDEO OF THE YEAR: ADORE HER – FUNBI x POE – NIGERIA SOLDIER – FALZ x SIMI – NIGERIA ISABELLA – SAUTI SOL – KENYA GOOD TIMES – KISS DANIEL – NIGERIA RIGHT NOW – SEYI SHAY – NIGERIA SKIN TIGHT – MR EAZI x EFYA – NIGERIA x GHANA STANDING OVATION – TIWA SAVAGE x...