Posts
Showing posts from January, 2016
Rais Magufuli Amuongezea Mwaka Mmoja Mkuu wa Majeshi Jenerali David Mwamunyange...Afanya Uteuzi wa Makamanda Wengine wa JWTZ
- Get link
- X
- Other Apps
RAIS John Magufuli amemwongeza muda wa mwaka mmoja Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini,Jenerali David Mwamunyange, ambaye alitakiwa kustaafu leo baada ya kutimiza umri kwa mujibu wa katiba na sheria. Akizungumza na waandishi wa habari leo mapema kwenye Makao makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyopo Upanga jijini Dar es salaam,Jenerali Mwamunyange amesema leo alitakiwa kuungana na Brigedia wanne wa Jeshi la ulinzi nchini pamoja na Meneja Jenerali wawili ambapo wote kwa pamoja wamestaafu ndani ya Jeshi kwa mujibu wa sheria ya jeshi hilo. “Mimi mwenyewe ilikuwa nistaafu kazi leo tarehe 30 Januari 2016,lakini Rais na Amri Jeshi mkuu ameamua kunibakiza katika utumishi jeshini kwa mwaka mmoja kuazia leo tarehe 30 januari,2016 hadi tarehe 31 Januari 2017,” amesema Jenerali Mwamunyange Jeneral Mwamunyage amesema sababu iliyomfanya Rais Magufuli kumwongezea mda huo imetokana na Rais kutopata mtu sahihi wa kujaza nafasi hiyo...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MAWENZI MKOANI KILIMANJARO
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Majaliwa Kassim Majaliwa akiwasili Ikulu ndogo ya mjini Moshi. Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akisalimiana na Waziri mkuu Majaliwa. Waziri Mkuu akislimiana na Mstahiki meya wa Manispaa ya Moshi, Raymond Mboya . Waziri mkuu akiwasili katika hosiptali ya rufaa ya Mawenzi alipofanya ziara ya kushtukiza. Waziri mkuu akitizama chumba cha kupigia pcha za mionzi (X Ray) katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi. Waziri mkuu akiwa wodi ya watoto alipotembelea kujionea namna ambavyo wagonjwa wanahudumiwa. Waziri mkuu Majaliwa akizungumza jambo na mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Mtumwa Mwako. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akitoa taarifa ya mkoa kwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika mkutano huo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Vunjo , Mhe. James Mbatia walipokutana Ikulu nd...
Good News: Diamond Platnumz kazinyakua tuzo nyingine kubwa usiku wa leo.
- Get link
- X
- Other Apps
Mmiliki wa hit song ya ‘ Utanipenda ‘ Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za Hipipo Awards zilizofanyika Uganda . Ushindi alioupata ni Nyimbo bora Afrika Mashariki na Video bora Afrika Mashariki ambazo zote ni kupitia wimbo wa Nana. Baada ya ushindi kupitia account yake ya Instagram Diamond aliandika maneno haya “ Wow! Realy wanna Thank GOD for keep blessing the innocent kid… also wana thank all Media and My Loyal fans for the Big love.. Two Awards tonight on @HipipoAwards UGANDA…EAST AFRICA SUPER HIT #NANA and EAST AFRICA BEST VIDEO #NANA many thanks to my brother @2niteflavour @i_am_godfather and all Behind this Hit!!!… thanks alot @HIPIPOAwards for keep supporting the real African talent! (Wadau kijana wenu nimefanikiwa kushinda tunzo mbili Usiku wa leo kama NYIMBO BORA AFRICA MASHARIKI #NANA na VIDE...
Haya ndo Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 31 2016
- Get link
- X
- Other Apps