Music video by Yemi Alade performing Duro Timi. Yemi Alade iTunes link: https://itunes.apple.com/us/album/dur... 2015 MTV Africa Music Awards "Best Female" award winner Yemi Alade premieres the music visual for "Duro Timi"; a Sizzle Pro produced emotive ballad sheltered on her acclaimed debut album "King of Queens". Directed Ovié Étseyatsé and co-directed by Taiye Aliyu, the story-telling video was shot in London, United Kingdom. "Duro Timi" is a Yoruba phrase which means "Stay with Me" in English. "Sometimes, love can pass you by while you're busy making plans." (C) 2015 Effyzzie Music Group
Breaking news zilizoifikia saa nne usiku wa July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ni kwamba baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja. Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili ‘‘ BASATA ilipata habari zako, kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya na ukakiri kwa kuomba msamaha tabia yako ya kucheza bila kuzingatia maadili uwapo jukwaani, BASATA ilikupa nafasi ya kutoa maelezo kwanini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kitendo chako lakini umekaidi kutoa maelezo yako ‘ – BASATA ‘ Baraza limejiridhisha kwamba ulikiuka maadili ya kazi ya sanaa kwenye onyesho lako huko Ubelgiji makusudi na umekiuka sheria kwenye ibara ya 30 (2) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kwa kuvunja maadili ya jamii ya Mtanzania hivyo baraza linakusimamisha kuji...
Mwimbanji wa bongo fleva na muigizaji wa bongo Movie Hemed PHD ametubariki na video yake mpya iliyofanyika mikoa tofauti ambayo ni Dar es salaam ,Morogoro, Arusha kwenye maeneo ya ziwa Duluti Tengeru na Manyara. Video inaitwa Imebaki Story na imetayarishwa na Msafiri Shabani.Edited by Adam Juma. Bonyea play kuitazama.
Picha ya pamoja ya Sauti Sol na Barack Obama Rais wa Marekani Obama yuko nchini Kenya kwenye ziara ya siku tatu ambapo pia amekutana na ndugu zake akiwemo dada yake na Bibi yake. Obama ni mcheshi sana na mtu anaependa vituko vya hapa na pale..Katika halfa iliyofanyika leo Kundi maarufu la muziki nchini Kenya Sauti Sol lilipata mualiko maalum kutumbuiza katika hafla hiyo…Obama aliweza kushiriki katika kucheza nyimbo ya Sura yako…hebu cheki video hapa chini….
Star Kutoka Nigeria ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya MTV mama Best Male Davido anayetamba na track aliyomshirikisha Meek mill - Fans Mi anatarajia kuachia kollabo ambayo alitangaza kuwa itamhusisha mkali mwingine toka Tanzania Allykiba BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO YA DAVIDO AKIFANYA MAHOJIANO
Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’.Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’.
“Nana” ya Diamond na “Chekecha” ya Ally Kiba katika Top 10 ya Radio maarufu ya Muziki wa Tanzania unaendelea kufika mbali zaidi kwa kutoa wasanii wakubwa wanaofanya vizuri kama Diamond Platnumz. Ally Kiba ni mmoja ya wasanii kutoka Tanzania ambae anafanya vizuri kwa sasa na nyimbo yake ya Chekecha. ALI KIBA Nyimbo ya Chekecha inaendelea kufanya poa Afrika baada ya kuingia katika Top 10 za Radio maarufu ya Nigeria iitwayo THE BEAT 99.9FM, chekecha katika wiki hii imeshika nafasi ya tisa. Diamond Platnumz Katika chart hiyo ya “Nana” ya Diamond aliyomshirikisha Mr Flavour imekamata nafasi ya pili katika wiki hii…Big up Ally Kiba na Diamond Platnumz kwa kuendelea kutuwakilisha vizuri kimataifa.
Video hiyo imefanyika hapa hapa Tz katika maeneo mbali mbali ikiwo Morogoro,Manyara,Arusha na Dar es Salaam.Video hiyo imegarimiwa milioni 15 na imeongozwa na Kwetu Studio. Vanessa Mdee na Nisher wampongeza Hemedy kwa uthubutu anaofanya msani huyo.Hii ni post ya Dir-Nisher, Kaa tayari kupokea ngoma hiyo....
Video mpya ya Navy Kenzo "GAME"Waliyomshilikisha mwanadada anayefanya vizuri Vanessa Mdee imetoka.Video directed by Justin Campos of Gorilla Films,Unaweza kuitazama hapo..
Wema sepetu ni mmoja ya wasanii waliochukua fomu ya kugombea ubunge viti maalum singida, Leo ilikuwa ni siku ya upigaji wa kura za maoni ambapo Wema Sepetu amekuwa wa mwisho katika matokeo.
MAMA Evolution winner D’banj is giving us hits after hits now and am seeing a major comeback here for the Nigerian music mega superstar. We gave you the audio for Salute featuring Ice Prince Zamani some days ago and finally you get to watch the official video for the single.
Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
B.O.B Micharazo wameachia ngoma mpya iitwayo"KAZI KWANZA" ndani ya kundi hili kuna Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason.Unaweza kuisikiliza hapo..
Wakati Watu wakiwa na hamu ya kupata matokeo ya tuzo za MTV ambazo Diamond ni mmoja wa washiriki katika Tuzo hizo Diamond anazidi Kupata nafasi zaidi baada ya kutajwa katika tuzo za African Entertainment Awards za Nchini Marekani. Diamond amekuwa nominated katika vipengele viwili ambavyo ni Hottest Male(Msanii bora wa kiume) na Single Of The Year(wimbo bora wa Mwaka-Ntampata Wapi). Diamond amepost katika mtandao wa Instagram akitoa shukran zake...ameandika "Naomba niwashkuru wadau na Mashabiki zangu wote kwa support kubwa mnayozidi kunipa... Niwashkuru wote mlokuwa Mkihamasisha na kupiga kura katika tunzo za #Mtvmama2015 Hakika ni upendo Mkubwa..kijana wenu now nimetua South Africa tayari kwajili ya Kujiandaa kwa show nk... ila pia wakati nimetua nimekutana na Habari nyingine nzuri...kuwa Nimechaguliwa kwenye Tunzo za Marekani ziitwazo @AfricanEntertainmentAwards Kama Msanii Bora wa Kiume Africa na Nyimbo bora ya Africa #NtaMpataWapi Hii ndi...
Watch and share the brand new music video "Sina Mali" by Tanzania bongo flava artist Galatone. Director - Allen Massala | Studio - Chaiderz Records Producer - Christone | Kapasta4real_Project FITNER AFTER FITNER_TZ
Baada ya kudondosha video ya Nakupenda alioshirikiana na Bongo Superstaa Diamond Platnumz, Msanii maarufu kutoka Nigeria Iyanya leo hii amerudi na kichupa kipya.Wimbo unaitwa Applaudise na hapa chini nimekusogezea video yake. Bonyeza play kuitazama.
Staa wa ‘Nana’ Ft Mr Flavour Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa anatamani watu wajue jinsi anavyompenda Zari Tlale aka Zari The Boss Lady. Kama wewe ni shabiki basi ni hii ni nafasi yako ya kujua kuwa wapenzi hawa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.